Elections 2010 Majimbo mapya kunusuru wabunge

ODD

Member
Mar 25, 2010
31
2
ONA HII
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ,Kwa mamlaka iliyopewa chini ya Ibara ya 75 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977,inawatangazia wadau wa Uchaguzi na Wananchi kwa ujumla kuwa itagawa Majimbo ya Uchaguzi yafuatayo.
i.Nkasi
ii.Tunduru
iii.Maswa
iv.Kasulu Mashariki
v.Bukombe
vi.Singida Kusini
vii.Ukonga

Tuyatazame majimbo yaliongezwa kiundani zaidi – kigezo ili kuwanusuru wabunge wa sasa
Ukonga;- sakata la waliohamishwa toka Kiwalani
Singida kusini; mgombea wa upinzani Tundu Lisu
Bukombe; sakata la uchaguzi mdogo
…………endeleza maoni yako
 
Kule kwa Sendeka (Simanjiro) vipi?, maana PM mstahafu hapumui vizuri
 
Back
Top Bottom