Kashfa mpya ya Andrew Chenge
Mwandishi Wetu
Machi 17, 2010
Achunguzwa kutumia madaraka vibaya kama Yona
Maswahiba zake wahaha kumuengua kashfa ya rada
WAKATI kukiwa na mkakati wa...
* Ni kuhusu ziara za mawaziri mikoani kutetea serikali awamu ya nne
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu wa Bunge), Philip Marmo amesema kuwa mawaziri watazunguka mikoani kwa...
Hawa Tanesco na Tanga Cement, taasisi muhimu katika ujenzi wa uchumi wa Taifa la walalahoi hawaeleweki sasa jamani. Au kuna anayejua ki undani zaidi zogo lao ni la nini hasa? Hebu soma hapa...
Daily News
ABOUT 70,000 students are likely to miss examinations or expelled from universities as the Higher Education Students Loan Board (HESLB) has run out of funds to finance tuition fees...
Muhimili wa Mahakama utajinasua vipi uwakala wa CCM?
Kuna hofu kuu iliyotanda nchini katika medani ya siasa kwamba endapo Mhakama, ambacho ni muhimili muhimu wa nchi unaotarajiwa kutoa haki (na...
Mtikila akusudia kuzuia Uchaguzi Mkuu
Mwenyekiti wa Democratic Party (DP), Mchungaji Chritopher Mtikila, ameungana na azma ya Chama Cha Jamii (CCJ), kutangaza kusudio la kuiomba Mahakama Kuu...
Huwa najiuliza kila siku. Je ni kweli CCM huwa wanaiba kura au ni wapinzani na baadhi ya wananchi kudhani uchaguzi wa huru na haki ni chama tawala kushinda tu? Ukiangalia matokeo ya uraisi mwaka...
Ridhiwani, Januari walikwina?
Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa 26 May 2010
Waraka wa Wiki
ALIPOUAWA mtawala wa Urusi, Nicholaus II, 17 Julai 1918, mauti hayakumfika yeye peke yake...
Ninaitwa Bandora ni kijana niliye tayari kwa kulitumikia taifa langu....Baada ya kutafakari kwa mda mrefu juu ya namna ya kulitumikia taifa hili nikaona njia iliyo rahisi na wazi ni kupitia nafasi...
KATIKA kile kinachoonekana ni kujipanga vema na kujihami kwa maswali magumu wakati wa kampeni za uchaguzi, Ikulu imetoa waraka wa kuzuia mawaziri kusafiri nje na badala yake kuwaagiza kuzunguka...
Alipoingia madarakani mnamo mwaka 2006, Rais Jakaya Mrisho Kikwete alionekana dhahiri kuwa ndiye mkombozi wa wananchi aliyekuwa akitarajiwa. Alifanya ziara nyingi za kushtukiza, katika kile...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), Philip Marmo, kusema kwamba hakitapata usajili wa kudumu kabla ya uchaguzi huo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake...
Kama tulivyofanya siku za hivi karibuni kuwazomea mawaziri uchwara ambao wanakuja ktk vijiji na miji yetu eti kutueleza mafanikio ya serikali ya awamu ya nne.
Nawaomba wananchi na watanzania...
SERIKALI imesema kuwa ukuaji wa pato la taifa katika unakadiriwa kuongezeka na kwamba pato halisi litakua kwa asilimia 7 katika mwaka 2010.
Akiwasilisha taarifa ya mwelekeo wa uchumi kwa mwaka...
Kutokana na mahojiano aliyofanya jana na Clouds Fm, Hosea wa TAKUKURU ameonyesha
kuwa anadhamira kubwa ya kupambana na rushwa, anayemkwamisha ni DPP, wadau mnasemaje?
Kwa mantiki yake uhuru wa kutoa maoni mzuri japokuwa una mipaka (Rejea Ibara ya 18 ya Katiba ya Nchi)!
Hata hivyo tumeona matukio kadhaa ambayo, yumkini yamesababishwa na uhuru tulionao, esp...
Wana-jamvi nina shauku ya kujua siku za TUCTA 20 bado kutimilika tu? maana naona hata serikali haina mpango wa siku 20 za TUCTA. Labda nilipitwa na news tuhabarishane.
Chama cha mwamko mpya wa ujenzi wa taifa CCJ kinaanza harakati za kukutana na kuzungumza na wananchi katika kujitambulisha zaidi kwa wananchi wakati kinaendelea kusubiri usajili wa kudumu. Hadi...
Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, John Magufuli, ameiponda dhana ya polisi jamii inayotumiwa na Jeshi la Polisi katika kupambana na uhalifu kwa maelezo kwamba utaratibu huo hauwezi kusadia...
Kuna mitazamo tofauti kuhusu ni kwa nini msajili wa vyama vya siasa nchi hataki kukisajili Chama Cha Jamii (CCJ).
Kwa mitazamo yangu na uchunguzi binafsi ndani ya ngazi za juu za uongozi wa CCM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.