I didn't want to write about this again; But Mr. President c'mmon! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I didn't want to write about this again; But Mr. President c'mmon!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 20, 2010.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Daily News

  ABOUT 70,000 students are likely to miss examinations or expelled from universities as the Higher Education Students Loan Board (HESLB) has run out of funds to finance tuition fees and field allowances.

  Sources told the 'Daily News' that the government in 2009/2010 was supposed to give the loans board 189bn/- but had so far disbured only half of the amount which covered food and accommodation, while funds for tuition and field allowances are yet to be released.

  "The amount was disbursed when the universities opened last October and the funds used for food and accommodation. The balance has not been disbursed," the source said.

  The sources expressed fear that delay in disbursement of the remaining amount might create crisis as some universities are about to start examinations. Information had it that already some universities have cautioned their students that they would not be allowed to sit for the examinations until the monies are paid.

  "We have everything ready on paper in terms of written cheques, but cannot do anything with them because there is no money in our account," the board's Assistant Director for Information, Communication and Education, Mr Cosmas Mwaisobwa, confirmed to the 'Daily News' yesterday.

  Mr Mwaisobwa said that the government usually provides the board with money in lumpsum but it had not yet done so, adding that however the board was ready to receive any amount this time.

  He explained that the board depended wholly on the government to facilitate loans for tuition, accommodation, food and field allowances to students in higher learning institutions.

  The Minister for Finance and Economic Affairs, Mr Mustafa Mkulo, said his ministry does not issue loans directly to the board and instead channels it through the Ministry of Education and Vocational Training (MEVT).

  Efforts to reach the Minister for Education and Vocational Training, Professor Jumanne Maghembe and his deputy, Ms Gaudensia Kabaka by phone proved futile.

  Last year 197.3bn/- was requested from the government to cater for only 65,000 students (continuing and new first years) in the next academic year.

  During the academic year (2008/09), HESLB had requested 140.3bn/- but only 117bn/- was approved by the government forcing St Augustine University of Tanzania (SAUT) to admit only 950 from 6,000 students who had applied.

  Dar es Salaam University admitted 5,380 instead of 6,500 who applied, while Bugando University College of Health Sciences admitted 60 students against more than 100 applicants. And only 350 students were sponsored at Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS).

  My Take:
  This is the forth year, the same bunch of failed leaders at HESLB, working the same way, giving the same excuses, protected by the same government and harming the same students! But, we are expecting different results! are we so incapable of solving even the most easier problems? Do you really the problem is money? Just like ATCL, just like Tanesco, just like UDOM, just like....

  Ngoja CCJ ije.. tutawatia pingu wote!
   
 2. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Mazee CCJ inakuja lini? Watu wamengoja sana mbona, tangu 1961 huko?
   
 3. O

  Ogah JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  gimme a break ma broder.......y'all tink JK or whoever in the GoT cares abt educating the pple?.........muddo sik!!........kuna vitu ambavyo serikali haihitaji discussion..........afya , elimu.........you got to spend......period.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  When a guy who knows nothing is in pole position calling shots surrounded with his buddies, this is the best you can get. Uongozi dhaifu.
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  May 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Lakini what can we do at least competently as a nation? can somebody point to me something that we can proudly say that "anything you can do I can do better, I can do anything better than you"? Ukiuliza watu watasema ooh "watu wanataka shule" mara "ooh hawakusoma".. but the people who are responsible for these things are the best that our education institution could provide.. jamani.. si ndio wasomi wenyewe hawa.. ?
   
 6. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #6
  May 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Sio hayo tu Mwanakijiji kuna mengine mengi,mwaka huu kama mtu hakujiandikisha kwenye daftrai la kupiga kura (hana kadi ya mpiga kura hata paata mkopo kwa kuwa fomu yao ya inataka lazima awe na kitambulisho hicho..

  Huu ni uonevu kwa kuwa kuna wanafunzi hawakujiandikisha kwa kuwa walikuwa shuleni na probably shule zao hazikuwapa fursa za kwenda kujiandikisha kuna mifano mingi tu ya wanafunzi ambao hawajajiandikisha kwa kuwa wamechelewa

  zoezi hilo..Pia wapo ambao wamepoteza kadi hizo..Wanahitaji kitambulisho hicho tu na sio kingine chochote kama ilivyo kuwa kwa miaka ya nyuma...This is rediculous,ni kuvunja kabisa demokrasia na kunyima watu haki zao za elimu kwa sababu za kipuuzi kabisa.

  Kwanza kujiandikisha kupiga kura na suala la hiyari na sio lazima..
   
 7. n

  nndondo JF-Expert Member

  #7
  May 20, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 1,250
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Huyu bwana si alisema akimpa Mgaya hela watanzania milioni 39 watakosa huduma, sasa mbona inaonekana hakuna mtanzania anayemhudumia maana kila mtanzania hana anachopewa?

  Cha kushangaza ni pale pamoja na hayo unawakuta wakina mwanafalsafa wamepigwa mabango ya kuchangia CCM, hivi ni hizo shilingi mbili za juzi za malaria no more? Mbona sio za CCM hizo hamumuhitaji huyo kupiga mzika jamani hebu tutokeni huku kwenye upumbavu, hata sijui tusemeje mungu wangu watanzania hatuna masikio kweli kweli.
   
 8. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #8
  May 20, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160

  Tunaweza kula....(hata kama hatuwezi kuzalisha hata sindano)!
   
 9. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #9
  May 20, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,197
  Trophy Points: 280
  Kuna wengine ni ma conscientious objectors, si kwa vita, kuimba wimbo wa taifa, na ku salute bendera tu, bali hata kupiga kura na kujihusisha na mambo yoyote ya kisiasa, kwa mfano kina Jehovah Witnesses huko, sasa na hao nao wakikosa mkopo wa kielimu kwa sababu hawajajiandikisha kupiga kura si tutakuwa tumewaonea? Hawa hawaamini katika mfumo wa kisiasa wa dunia hii, kwa sababu kwa mujibu wao misahafu inawaambia kitu pekee cha kuwekea imani ni mungu na mbingu yake, kwa hiyo wao kwa mujibu wa mapokeo yao, kujiandikisha kupiga kura na kupiga kura ni ubatili.Sasa tutawachukuliaje watu kama hao ambao dini zao na mapokeo yake yanawakataza kujiandikisha kupiga kura?

  Naelewa kupiga kura ni kitu muhimu, lakini ni lazima? Mtanzania anashurutishika kisheria kupiga kura? Kama hashurutishiki kwa nini wanataka kuleta huu upuuzi wa ku associate mikopo na kupiga kura?

  Kama mtu atasema CCM inataka ku capitalize kwenye mikopo hii kwa sababu watu wengi wanaopata mikopo watakuwa na sympathy na CCM atakuwa amekosea?

  Hivi bongo hatuna wanasheria wanaotafuta lawsuits against serikali? Au ndiyo hivyo mfumo wetu hauruhusu kabisa kitu kama hicho? Maana wananifanya nitamani kuwa mwanasheria niwe bongo, niisue serikali mihela kibao, halafu kesho keshokutwa wakija kuwa na uamuzi kama huu wa kufanya wanaweza kutia akili.
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  May 20, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Kuiangalia hii ishu ya failure ktk mikopo as an isolated event nadhani ni makosa. Total Gvt is in slump, hio ndio bottomline.
   
 11. Regia Mtema

  Regia Mtema R I P

  #11
  May 20, 2010
  Joined: Nov 21, 2009
  Messages: 2,974
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  Yaani inakera sana,ni mpango maalumu ambao Serikali inacheza hapa,haiwezekani Tz kitambilisho pekee kiwe kadi ya mpiga kura,mbona kuna vitambulisho vingi tu?
   
 12. jaxonwaziri

  jaxonwaziri JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2010
  Joined: Feb 17, 2010
  Messages: 378
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  Thats the major thing here. Now, as grown ups and determined people what matters is what we do about it! Election is arround the other corner, gear up people and lets do it, and do it properly!
   
 13. kmp

  kmp Member

  #13
  May 20, 2010
  Joined: Jun 18, 2009
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Journalist wanasema wamewapigia simu waziri na naibu wake hawapatikani... ndio watu hawa pamoja na serikali nzima ya SISIEM sasa hivi priority yao ni uchaguzi na namna ya kuipata bil 50 ya kuwafanikisha kuiba kura.


  Wameshasahau matatizo na vipaumbele vya watanzania waliowachagua. Watakuja tena wakati wa kampeni wawadanganye watu.

  Ni hayo tu.
   
 14. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #14
  May 20, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Sijaelewa hapo kwenye red, naomba ufafanuzi wadau.
   
 15. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #15
  May 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ndibalema.. kuwafunga watu pingu hakueleweki?
   
 16. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #16
  May 20, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,593
  Likes Received: 18,589
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji, hizi ndizo baadhi ya uoga utakaopelekea CCJ inyimwe kabisa usajili, fear of unknown. Kuna mwandishi mmoja wa Tanzania wa zamani, alitumia pen name ya Prince Kangwema moja ya vitabu vyake kilikuwa na headline ya "Quo Valdis Tanzania?" akiuliza Watanzania tunakwenda wapi/tunataka nini?, miongoni mwa hoja za huyu jamaa, ni kwa Watanzania kugubikwa na "Fear of Unknown" afadhali jini CCM, ni jini likujualo, halikuli likakwisha kuliko jini CCJ ambalo halikujui!.

  Kinachoendelea kwenye zoezi la usajili, sio kazi ya Tendwa, yeye ni kufuata tuu maelekezo.

  Kwa vile wewe uko ndani ya CCJ, nanyi ndio mnautafuta mkate ambao wenzenu wameushika, nawashauri kwa kuanzia msije na kisu cha kukatia mkate kuonyesha mnataka kugawana, njooni na blue band na jam na kuwaambia lete mkate tuupake siagi na kukurudishia, na akishakupa huo mkate ndipo unatokomea nao na pingu zikifuatia, CCJ mkianza na vitisho vya pingu, hata mkate hutaguugusa!.
   
 17. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #17
  May 20, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sawa, hata kama serikali haina hela, je pia uwezo wa kushirikisha wadau katika harambee za kuchangia elimu ya juu hawana? Mbona wana uwezo wa kuchangisha fedha za uchaguzi?
   
 18. W

  WildCard JF-Expert Member

  #18
  May 20, 2010
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Nilidhani CCJ wangetueleza sera mbadala wa hii ya mikopo ya serikali ya CCM. Kama mtatanguliza pingu kama Jerry Muro basi tena.
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  May 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Haya ndiyo mawazo ambayo nataka tuyapige vita, tunataka wananchi wajue kabisa tofauti iliyopo na inayokuja. No need for mincing words.

  I know that and we will respond in kind within 24 hours..

  Hili ndilo tatizo la vyama vyote vya upinzani vilivyopo sasa!
   
 20. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #20
  May 20, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280

  Hilo ni pembeni ya suala la sera. Watanzania mnapenda kupewa maneno matamu ya kuwaambia "tutaanzisha mchakato" au "serikali iko mbioni". kwa upande wangu nadokeza tu kuwa kama watu ninaowaunga mkkono wataingia madarakani kuna vitu vya kwanza ambavyo vitatakiwa kufanya. Na kubwa ni kuwatia pingu na kuwafungulia mashtaka baadhi ya viongozi na wengine wenye kuenjoy sijui immunity watavuliwa. HIli lisiwe na utata. Sasa linaweza lisiwe zuri kujulikana lakini litawekwa kwenye sera mapema na kwenye ilani ya uchaguzi. Watanzania watatakiwa kuwachagua wagombea wetu kwa misingi hiyo.

  Sasa kama mnataka kuendelea na kamati za uchunguzi na tume za Rais.. endeleeni na CCM.. au chama kingine cha upinzani. Tunajua kwanini wanaogopa kukipa CCJ usajili wa kudumu but the train has already left the station..
   
Loading...