Hosea ni mchapakazi hodari; anakwamishwa na DPP | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hosea ni mchapakazi hodari; anakwamishwa na DPP

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kipira, May 29, 2010.

 1. k

  kipira Senior Member

  #1
  May 29, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 135
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Kutokana na mahojiano aliyofanya jana na Clouds Fm, Hosea wa TAKUKURU ameonyesha
  kuwa anadhamira kubwa ya kupambana na rushwa, anayemkwamisha ni DPP, wadau mnasemaje?
   
 2. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #2
  May 29, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  We bana acha mambo yako,dhamira ipi hiyo aliyoonyesha? Zile ni style za kisiasa za kuwahadaa watu kama wewe
   
 3. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Wadau tunasema serikali ya Jk inazidi kutuvuruga tu na kutufanya mafala. Hiyo ni namna moja ya ya ubabaishaji kuhusu kuwapeleka mahakamani wathumiwa wakuu wa ufisadi hasa Kagoda na radar. Akihojiwa naye DPP atasema wanaokwamisha ni PCCB. Kuzungushwa tuuuuuuuu!!!!!!! trumechoka!
   
 4. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Huyu Hosea kwsa kujihami na kujisifu prematurely ni hodari. Hana lolote la kusifiwa na wananchi wapendao haki itendeke dhidi ya mafisadi/. tangu aliposhindwa kuwabaini wezi wa kagoda (kitu rahisi sana - angewabana CRDB tu) nimepoteza kabisa imani naye. naamini ni wakala wa mafisadi na ni hodari kwa mchezo wa kuigiza.

  By the way, siyo huyu aliyetajwa kuhusika na Richmond kwa kujaribu kumkinga EL, na ambaye alitakiwa na Tume ya Bunge kufukuzwa kazi? Bado anafanya nini PCCB -- kuendelea kuwakinga mafisadi wengine maswahiba wa JK?
   
 5. P

  Paul S.S Verified User

  #5
  May 29, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Hosea gani unaye mzungumzia huyu ninayemjua mimi aliyebariki mkataba wa kampuni hewa kuwa upo OK au na hapo ddp alimkwamisha
   
 6. k

  kausha Member

  #6
  May 29, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 73
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Ni kweli wakati ule alipotoka lakini tujue taasisi yake haiko huru sana inategemea utashi wa mwenye nchi akitaka kuipa meno itang'ata akitaka iwe koko kama ilivokuwa wakati wa akina EL hiari yake. lakini kwa kipindi hiki Hosea namkubali kazi anafanya tena ya kupendeza tusilaumu kwa makosa yake tu bila kumpogeza kwa aliyoyafanya vizuri kama posho tata kwa wabunge nk. huko kwa DPP nako sio huru kwa ujumla mamlaka zote mbili zinadhibitiwa na wenye mamlaka hizo kesi zilizoko huko tusubili Hosea asubiri zifutwe
   
 7. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,328
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  If he has anything to show, then his actions should be the one to speak on his behalf. Sweeet words would not add anything without actions. By the way, he should not tell the world what he can do. He should show it by his actions.Otherwise he is a failure like all other failures this country has produced.
   
 8. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2010
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,584
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Kama kweli anakwamishwa na hivyo anashindwa kudeliver, ajiuzulu. Ndio uungwana iwapo huwezi kufanya litarajiwalo.
   
 9. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2010
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,423
  Trophy Points: 280
  Namkumbuka tokea akiwa karani pale kisutu, sio mtu safi
   
 10. a

  arasululu Senior Member

  #10
  May 29, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hosea hosea hosea hosea hotea! hamna kitu anayemtetea kwamba kafanya mazuri kayafanya kwake cyo kwa taifa
   
 11. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Rightoooooooooooooooooooooooooooooooooo!

  Yaani kungewekwa vibatani viwili kwa point kama hizi!

  History will judge them!
   
 12. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Eeeh! ni lini hapo?
   
 13. M

  Magezi JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Hosea, DPP, na takataka zingine as long as ziko CCM ni hovyo tu.
   
 14. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Nadhani hii ndio imekaa vizuri, DPPni mchapakazi hodari; ila anakwamishwa na Hosea kama Hosea akifanya kazi vizuri DPP atafanya kazi vizuri
   
 15. m

  matawi JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2010
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Nikiambiwa nichague vichefuchefu watatu Tanzania naye yumo
   
 16. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #16
  Jun 1, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  If these CCM type statements hold water then ina maana nyngine kuu for this administration kwamba viongozi wengi ni wabovu wanabebwa na watu wa chini yao!
   
Loading...