Waziri Marmo: CCJ haitashiriki uchaguzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri Marmo: CCJ haitashiriki uchaguzi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Tonge, Jun 1, 2010.

 1. Tonge

  Tonge JF-Expert Member

  #1
  Jun 1, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 696
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu na Bunge), Philip Marmo, kusema kwamba hakitapata usajili wa kudumu kabla ya uchaguzi huo. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana, ambao aliuitisha kuzungumzia utekelezaji wa sera za serikali ya Awamu ya Nnne tangu iingia madarakani baada ya uchaguzi mkuu wa 2005, Marmo alisema chama hicho hakiwezi kusajiliwa kabla ya Uchaguzi Mkuu kwa vile serikali haina fedha ya kugharimia mchakato utakaofanikisha usajili huo.

  1. Je Marmo ni waziri wa fedha siku hizi?
  2. Hela za kuigharamia brazil zipo ila za kugharamia mchakato hazipo.

  Huu ni uogo wa CCM maana wanajua CCJ ni chama kipya chenye nguvu sana na kinaweza kuwang'oa madarakani mwaka huu.

  Nafikiri ni vema CCJ watafute fedha ili kuwapa serikali wakafanye huo mchakato.
   
Loading...