Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Friends, Sio siri,matangazo ya biashara ya CCM radioni yana ni bore sanaaaaaaaaaaaaaaaa
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Bandugu; Kwa wale wanaotumia network ya Seacom (fiber opic cable ya baharini) Tanzania, inasemekana kuwa mitambo yao ipo chini. Hii imewaathiri watumiaji wengi wanaopata access ya Internet kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF Hakuna chanzo kinachosema Brazil Kama wenyewe wanataka shilling ngapi. 7 billion wanazosema ni za TFF na serikali ndo wanasema. Kuna habari kwamba mechi kati ya brazil na Tanzania ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ndugu wanaJF Katika kuelekea uchaguzi october 2010 nimeona hili niliweke wazi, Baba wetu wa taifa ameanza kuchafuliwa katika media mbalimbali ikiwemo jf na TAHASISI YAKE CHINI YA BUTIKU...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Mhh! kuna maukweli hapa? Salaams from Kamau In Kenya Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem to post my article in your beloved blog. I have been a...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Marekani na China wanapigania Tanzania kwa sasa kwani wanaamini Tanzania itakuwa super power ya East and Central Africa. Marekani pamoja na kuweka balozi wao mwanajeshi msaafu wako kwenye harakati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani nimeguswa na swala lililomtokea ndugu yetu Masauni simjui hakika; ila nimeangalia nikaona kuna umhimu wa wa zanzibar kuamka na kuacha kuwa wanyonge kila siku..embu jiulizeni kughushi shule...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jirani yetu Mkenya anavyotushangaa. Jamani tutaendelea na matendo haya hadi lini? Salaams from Kamau In Kenya Being from a neighbouring country, I hope it is not going to be an offence or problem...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Na Yassin Kayombo, Kibaha CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina uhakika wa kupata ushindi wa kishindo katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kutokana na kukubalika kwa wananchi na mikakati yake...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hali zenu wakuu. Kuna baadhi ya watu wamejitolea kuja kutuletea kadi za vijana za CCM kwa ajili ya kumchagua mbunge wa jimbo letu. Tatizo ni kwamba, wakati wa kutuandikisha, wamechukua ID...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Maalim Seif ajitosa tena urais Zanzibar SIKU moja baada ya mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba kutangaza nia yake ya kugombea urais wa Muungano, katibu wake, Maalim Seif Sharif Hamad...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Tundu Lissu: CCM imeanza kucheza rafu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)kimekishutumu Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa kimeanza mkakati wa kununua shahada za kupigia kura za vijana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Spika wa Bunge, Samuel Sitta. Spika wa Bunge, Samuel Sitta, amewataka wananchi kuepuka kasumba ya kuchagua viongozi wenye uchu wa kutafuta maslahi binafsi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
"The Tanzanian Football federation admits to paying several million dollars to persuade Brazil to play the Taifa Stars" Safari bado ni ndefu kwa nchi hii kwa kweli! Ila tactic nzuri kwa uchaguzi...
1 Reactions
150 Replies
15K Views
RAIS Jakaya Kikwete anasema simu yake ya mkononi iko wazi kwa yeyote anayetaka kuwasiliana naye. Namba ambayo wengi tunaifahamu ni 0754 777775. Akizungumza na viongozi wa madhehebu ya dini...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakati huu kwa kuwa chama cha mafisadi CCm na serikali yake wanaanza wizi mwingine kupitia ziara eti wanaenda kuwaeleza wananchi ni nini wamewaibia, nawaomba viongozi wa CHADEMA chapisheni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MWINJILISTI wa Kanisa la Penuel Healing Ministry, Alphonce Temba amewataka wachungaji na maaskofu kuacha kushinikiza kubadilishwa kwa siku ya kupiga kura na badala yake kuwataka watumie siku...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi hadi sasa siamini kama Muungwana ni kiongozi mbovu kama wengi wanavyoamini. Ila ninachojua alivyoanza kazi hakuwa mwangalifu na ndio maana anatumia nguvu nyingi sasa ku rectify mambo na bado...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Katibu Mkuu, Alhaji, Luteni Kanali Yusuph Rajab Makamba aliwahi kusema kuwa JK ndio mtaji wa kura za CCM. Jamaa nisiowaamini kabisa, REDET nao wakaja na mapambia kama hayo ya Luteni Kanali Mstafu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kashfa mpya ya Andrew Chenge Mwandishi Wetu Machi 17, 2010 Achunguzwa kutumia madaraka vibaya kama Yona Maswahiba zake wahaha kumuengua kashfa ya rada WAKATI kukiwa na mkakati wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom