Greetings dear friends, the following report was composed by "another person" with whom we have no direct connection. In light of the fighter trainer accident that killed two Tanzania airmen last...
Mongella: Sheria ya Gharama za Uchaguzi itekelezwe kwa umakini
Mwandishi Wetu
Mbunge wa Ukerewe, Dk. Getrude Mongella, ametaka busara itumike katika kutekeleza Sheria ya...
Takriban wiki mbili zilizopita, siku ya Jumatatu, kituo cha habari cha kimataifa, Al Jazeera, kilitangaza kipindi chake cha Witness Special, ambacho ni kawaida kutangazwa siku hiyo kila wiki...
Haya tena wanajamii CCM imetowa uamuzi utakaogusa mustakbali wa nchi kwa kumteua Dr. Shein kuwa mgombea wa urais wa sehemu moja ya Muungano (Zanzibar)
Tulisikia mengi kutoka kwa wana CCM...
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita aliyekuwa IGP Omar Mahita alikuwa akionyesha visu vyenye rangi ya bluu na nyekundu akatangaza kuwa vimetengenezwa na CUF, sasa hii SMG yenye rangi ya kijani na njano...
Kuna tetesi kuwa yule dada aliyekuwa CEO wa New Habari Corporation Rosemary Mwakitwange ambaye pia anadaiwa kuibadilisha New Habari na kuweza kujiendesha kibiashara ameachana na kampuni hiyo ya...
Gazeti la habari leoiImeandikwa na Ikunda Erick, Dodoma; Tarehe: 9th July 2010
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kwa kushirikiana na Polisi wanawahamisha wapangaji kwa nguvu kwenye nyumba...
Naona live kwenye TBC sasa hivi mkutano mkuu wa CCM (national congress) ukiendelea Dodoma. Sehemu kubwa ya mkutano umechukuliwa na burudani za muziki wa ToT, TMK, Dokii, Flora Mbasha, vijana wa...
Tanzania Daima
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweza kutawala taifa letu kwa muda huu mrefu na chaweza kuendelea kutawala kwa muda mrefu baadaye kwa kile ambacho nakitambulisha kwenu kuwa ni...
In his lifetime Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wore many hats. Some of them were outright contradictory or dilemmatic. But such is the inherent nature of our complex humanity.
We are...
Majina ya viongozi wetu baada ya uchaguzi ni haya:
2010/15
1.JK-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.Pinda-PM
4.Shein-Rais wa zenj.
2015/20
1.Lowasa-Rais wa URT
2.Karume-VP wa URT
3.H.Mwinyi-PM...
Serikali inaposema inajaribu kutenganisha siasa na uongozi ina maana gani?.Unapokuwa mwanasiasa ni lazima usiwe kiongozi? na mbona huku vyuoni tunakosoma kuna baadhi ya degree program mfano...
Yetu macho, katika hili na hawa ndugu wenye asili ya kihindi , tiba itapatikana?
SAKATA la ufisadi katika kitengo cha ushuru wa forodha cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenye Bandari ya...
Caroline Mmary
This beautiful young mother of 2 was found dead wrapped up in plastic food wrap and black trash bags and buried under a pile of garbage in the back yard of her home.
She came...
Alipokuwapo Mama Maria Nyerere enzi zake Ikulu, kazi yake ilikuwa ni moja tu. Kulea watoto na kumsaidia mumewe. Basi.
Akafuata Mama Sitti Mwinyi, naye alifanya hivyo hivyo.
Tatizo lilianza pale...
Nimepata taarifa hivi sasa kutoka kwa mmoja wa waandishi walioko Dodoma kuwa kuwa Dk. Shein ameondoa jina kwenye kinyanganyiro cha urais Zanzibar.
Mwenye data atupatie jamani
Na M. M. Mwanakijiji -
NAWEZA kusema kitu ambacho watu wengi tayari wanakijua au kukikubali bila haja ya kufanya jitihada kubwa ya kuwashawishi.
Kwamba, bila ya kubebwa na vyombo vya dola na...
Waziri Masha (Mambo ya Ndani) amesema hivi bungeni, angalia kwenye maandishi ya rangi nyekundu.
Fifty Tanzanians renounce nationality
By Polycarp Machira
4th July 2010
Some 52...
WAKATI hatima ya kumpata mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM inaelekea ukingoni mwishoni mwa wiki hii, makundi ya ushabiki yanahaha kuwapigia debe wagombea watatu ambao ni Dk Ali Mohamed Shein...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.