Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe jana alikera wabunge wa CCM wakati alipotumia muda mwingi kusifia mafanikio yake jimboni lake katika kipindi cha miaka mitano. Zitto, ambaye alikuwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
SA diplomatic staff dodge traffic fines in UK JENNI O'GRADY | JOHANNESBURG, SOUTH AFRICA Jun 29 2010 South African diplomatic staff owe more than £600 000 (about R6,8-million) in unpaid traffic...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali yanyonga magazeti binafsi Mwandishi Wetu Juni 23, 2010...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani mkutano wa G20 unaendelea Canada! wakuu wa nchi hizi tajiri duniani zinaweka mikakati ya kukuza uchumi wa dunia na nchi zao. Nadhani Kikwete angekuwa yuko Canada angetumia muda huo kuomba...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msanii wa Filam Tanzania Juma Chikoka ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Ilala kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi {CCM}.Juma chikoka ambaye ameshiriki movie nyingi kama vile My...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Moja ya sifa ya mbunge kwenye ibara ya 67 (1) (a) ni kuwa na uwezo wa kusoma na kuandika Kiswahili na Kiingereza, sasa je wabunge wote wanasifa hii? Na namna ya kuhakikisha sifa hii ni kuwapatia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
The RIGHT to VOTE and to be VOTED is Inalienable right,THE basic right of the Citizen.Anyone, anyone, who says otherwise, is deadly wrong and WE as the Citizen have right and duty to protect...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TANZANIA’S FUTURE LIES IN THE POWER OF YOUR BALLOT! Economics and politics have always been intertwined and inseparable. No politician has ever talked politics without talking economics, and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mabunge yanayofanya Kazi .... na la kwetu Bongo.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
HATUA ya Makamu wa Rais, Dk. Dk Ali Mohamed Shein kuingia katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais wa Zanzibar, imeelezwa kusukumwa na wagombea Urais wa Jamhuri walioko Bara, Raia Mwema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tatizo la baadhi ya viongozi wa umoja wa vijana wa CCM (UVCCM) kudanganya umri wao Limeendelea kutafuna Umoja huo. Katika tukio la karibuni ,mjumbe wa NEC kupitia UVCCM Edwin Sanda...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
katika harakati za viongozi wa CCM wilaya Lushoto kumnadi Bwana Januari Makamba na kuwashawishi wananchi kumchagua, kampeni za kabla ya wakati zinaendelea ikiwa ni pamoja na vipepelushi vyenye...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
...Wapenzi kadhaa wa Dk Bilal.... walisema kwamba wanatarajia mara hii jina la Dk Bilal litarudishwa kwa sababu alikuwa muungwana mwaka 2000 Kamati Kuu ya CCM ilipompitisha Amani Karume kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
  • Closed
Sawa nimeshauriwa kama nataka kumjadili Mbowe nifungue thread mpya, sasa hii kwa kuangalia hii NGO [au niseme SACCOS ya exclusive members?] CHADEMA nimegundua mgombea urais MBOWE ni bomu heri hata...
0 Reactions
1K Replies
131K Views
kweli nguvu ya mafisadi imeonekana jimbo Same mashariki, na ukiona Mama Ana kilango analalamika kiasi kile bungeni basi AMINI ni masikitiko kutoka moyoni kwake....hali yake jimboni ni mbaya sana...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Muda mfupi uliopita wanamuziki maarufu ndani na nje ya nchi Mr Sugu pamoja na Mkoloni wamejiunga rasmi na Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA). Wanamuziki hawa walikuwa wametangaza...
0 Reactions
72 Replies
10K Views
Kwa kutambua umhimu wa elimu katika maendeleo ya binadamu, na kwa kutambua umhimu wa makuzi na ujenzi wa tabia ya mtu katika umri mdogo. Ningepata nafasi ya kuwa rais wa Tanzania kwa miaka 5 ijayo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salamu wana JF jamani naombeni msaada wenu wa haraka sana. nahitaji kujua idadi ya journalists waliopo katika nchi ya Tanzania Tafadhali kwa mwenye kujua anisaidie Asante sana:smiling:
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hili lilikuwa swali la MMKJJ kwa CHADEMA November 2009!! Naona MMKJJ mahesabu yake hayakuwa sawa!! kama anatumia kigezo cha KUFANYA NINI, Namuuliza, CCJ imefanya nini mpaka tuipe dhaman aya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
By: M. M. Mwanakijiji What we are witnessing right before our very eyes as we head toward the General Elections 2010 is a clear assault on Democracy in Tanzania propagated and carried with...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Back
Top Bottom