Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mh. Shamsi Vuai Nahodha Kasema akichaguliwa atwajanza Wazanzibari Mapesa.....Isije kuwa kama Mwenyekiti wa chama UDP alivyotaka kutujaza mapesa ila hukchaguliwa. Je Kama Vuai akichaguliwa ataweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimesikitishwa sana kwa kupata ujumbe wa kutoa ni moyo! Changia CCM kuanzia 300, 500 na 1000. Nimehuzunishwa kwani mimi si mwanachama wa CCM na wala sina ubia na chama hiki kilichojaa unyonyaji...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Jamani je ni lini tutasikiwa ubalozi wa TZ unatoa masikitiko kwenye magazeti kama dada yetu kakatwa na mapanga na ubalozi unanyamaza kama hakuna lolote lililo tokea. Je ubalozi una kazi gani...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
JK: Ningeboronga CCM ingenitimua Atamba anajivunia rekodi yake ya miaka mitano RAIS Jakaya Kikwete amesema anaamini iwapo angekuwa ameshindwa kutekeleza kikamilifu Ilani ya Uchaguzi ya Chama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
By Mkinga Mkinga THE CITIZEN Chief Justice Augustino Ramadhan and High Court Judge Mariam Shangali follows 2010/11 budget estimates presentation for the ministry of Justice and Constitutional...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni wazi kuwa wanaJF wengi hapa ni wapenda HAKI. Naamini kati yetu tupo tutakaopiga kura mwaka huu. sasa nauliza umejiandaaje kulinda kura yako mwaka huu. Kumbuka kuwa siku hizi haki haidaiwi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU… Kambi ya upinzani kuwaanika askari watakaoishabikia CCM Imeandikwa na Shadrack Sagati, Dodoma; Tarehe: 26th June 2010, Habari Leo KAMBI ya Upinzani Bungeni imesema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Rekodi za bunge zinaonyesha kuwa hadi kuanza kwa mkutano wa sasa, Rostam ndiye mbunge pekee kati ya wabunge 322 aliyefanikiwa kuweka rekodi ya kuuliza maswali ya msingi 0, ya nyongeza 0, na kutoa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rage atangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la tabora mjini Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa mkutano na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Na Ezekiel Kamwaga Imechapwa 26 May 2010 ALIPOUAWA mtawala wa Urusi, Nicholaus II, 17 Julai 1918, mauti hayakumfika yeye peke yake. Aliuwawa na watoto wake watano; Alexei, Olga, Maria, Tatiana na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Katibu wa CCM wilaya ya Mbarali Bajoji amefariki dunia jana akiwa nyumbani kwao Kyela. Aliumwa ghafla na juhudi za kumkimbiza hospitali hazikuzaa matunda. Inasemekana kafa kwa pressure. Pole...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri wa Maji, Prof Mark Mwandosya hatimaye amemteua Jackson Midala kuwa CEO mpya wa kampuni ya maji Dar, DAWASCO.
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Jengo la Victoria House lililopo pembeni ya barabara ya Ali Hassan Mwinyi jijini, Dar es Salaam linalomilikiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ambalo Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
ZANZIBAR should join the Organization of Islamic Conference (OIC) else the union government should compensate for what the isles is losing for not joining it. Debating the Chief Minister's...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
Bi kizee asafiri km 50 kupinga hotuba ya JK * Amuonya asitumie madaraka yake vibaya WAZEE zaidi ya 1,000 waliokuwa wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete juzi kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee...
0 Reactions
272 Replies
23K Views
The opposition also questioned the position of the Attorney General of the Union Government, saying it was not in the Union articles, as it has been questioning the use of Tanzania Mainland...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wadau natumai umuhimu wa wizara ya fedha katika mustakabali wa maendeleo ya nchi yetu unaeleweka vema. ndio wizara mpangaji wa bajeti ya serikali na yenye uwezo wa kuelekezaa matumizi bora ya...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wagombea wa CCM waweza kushinda bila ya uharamia na mchezo mchafu? Imekuwa ni kawaida kwa CCM kwamba kila unapokuja uchaguzi (hata ule wa wao wenyewe ndani (internal party elections) huwa ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu habari! CHADEMA imeendelea kujiongezea hazina ya wanawake wazuri wanaowania majimbo kwenye kinyang'anyiro cha Ubunge mwezi Oktoba mwaka huu. Kati ya wanawake hao mmoja wao ni Leticia...
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Inakuwaje mbunge ulalamike ati kuna watu wananyemelea jimbo lako! Kwani hilo jimbo umeliwekea "hatimiliki"? Nijuavyo mimi mtu anapopata ubunge, anadumu miaka mitano kisha uchaguzi unapowadia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom