Waziri Masha (Mambo ya Ndani) amesema hivi bungeni, angalia kwenye maandishi ya rangi nyekundu.
Fifty Tanzanians renounce nationality
By Polycarp Machira
4th July 2010
Some 52...
WAKATI hatima ya kumpata mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM inaelekea ukingoni mwishoni mwa wiki hii, makundi ya ushabiki yanahaha kuwapigia debe wagombea watatu ambao ni Dk Ali Mohamed Shein...
Jamani hawa vigogo, nadhani shida hipo kwenye katiba yetu, raisi anatakiwa aelezwe kuwa kuna viongozi wangapi katika kila ngazi, mfano mawazinri na wizara na makatibu.
source: Safari za vigogo...
Wadau kama mnavyofahamu leo hii ndio itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki inaanza kufanya kazi. Kuna maengi ambayo yamejadiliwa na kuandikwa humu humu kuhusiana na hili swala na haya yako...
they pleased us to VOTE for them, yes we did it, ..But we asked them about better life for all...then they ignored us.. now onother period comes, they get readay with khanga, tishirt an caps so as...
Nikitazama nchi ilipofikia, nashindwa kuamini kama kuna mtu yeyote anayeweza kuipeleka Tz pale ninapoota iwe, hivyo natamani tu siku moja niwe raisi mwenyewe!!!!!!
WAPINZANI WAKE WAMKAMIA KUMG'OA DODOMA
na Mwandishi wetu
KINYANGANYIRO cha uteuzi wa urais Zanzibar, kimeingia katika hatua mpya baada ya kuwapo mkakati wa kutaka kumwengua Dk. Ali...
Hivi what are the chances za Huyu kijana-Richard kasesela, kuweza kumshinda mheshimiwa waziri David mwakyusa kwenye primaries? It seems like ni waziri anaependwa sana jimboni kwake na sio fisadi...
Ukiwasikiliza wengi wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za Ubunge wanatoa sababu za mambo gani wanataka kuyafanya kwenye majimbo yao (nimeandika kwa kirefu kwenye Mwanahalisi kesho)...
Kuna kamtindo kwamba ukitaka Ubunge kwa haraka (chap chap) ni rahisi ukiwa mgombea wa CCM. Hii inaletea hata wale wenye mtizamo tofauti na CCM, huwa wananunua kadi na kutafuta ugombea Ubunge...
Ni week iliyopita ambapo Bunge la Kenya lilipitisha ongezeko la posho za wabunge wao. Watapata mshahara wa Ksh. 1.2 milioni (karibu Tsh 120 milioni) na allowance ya Ksh. 851,000 (karibu Tsh 8...
wakati Rais Kikwete anaingia madarakani alijibebesha mizigo tisa,Je ni ipi kati ya aliyojibebesha wakati anazindua bunge la Jamhuri ya muungano pale Dodoma ambao ameweza kuufikisha panapotakiwa...
WAKATI kinyanganyiro cha urais wa Zanzibar kikizidi kushika kasi, mmoja wa wagombea wa nafasi hiyo ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mohamed Aboud Mohamed, amepigwa...
Vyombo mbalimbali vya habari vimekuwa vikiripoti habari ya kuwepo kwa kadi feki ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM. Nimekuwa nikizitafakari habari hizi bila kuelewa ni wapi hasa tunakoelekea na...
Wadau mimi nashindwa kupambanua baadhi yavitu kwamaana nakuwa sioni logical!Kwa mfano mbunge anapokuwa amechaguliwa na chama chake inabidi akawatumikie wananchi wake jimboni na baadhi yamambo...
VIDEO YA KUAGWA MASHUJAA
Na. M. M. Mwanakijiji
Sikutaka kutoa maoni yoyote kwa siku kadhaa nione kama watawala wetu wanatambua kuwa vifo vya wanajeshi wetu wakiwa kazini ni kitendo cha kishujaa...
Kizitto Noya, Dodoma
KAMATI ya Bunge ya Miundombinu imeitaka serikali kutoa tamko kuhusu tuhuma zinazomkabili mtendaji mkuu wa Wakala wa Barabara (Tanroads), Ephraem Mrema kwamba mkataba wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.