New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Habari (2006) Ltd imefulia... Nani alaumiwe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Superman, Feb 3, 2009.

 1. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #1
  Feb 3, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Kuna tetesi kuwa yule dada aliyekuwa CEO wa New Habari Corporation Rosemary Mwakitwange ambaye pia anadaiwa kuibadilisha New Habari na kuweza kujiendesha kibiashara ameachana na kampuni hiyo ya Rostam.

  Chanzo cha habari kinasema ingawa mkataba ulikuwa umekwisha na aliombwa kuendelea lakini aliamua kuachana na "Rostam" kwa kuwa aligundua kampuni inaingiliwa na mambo mengi ya kisiasa na uongo uliokithiri. Zaidi ni dharau ambayo imekuwa ikionyeshwa na the so called "King Maker" hata kwa watendaji wakuu wa kampuni yake.

  Wenye data zaidi tunaomba mzimwage please . . . .
   
 2. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #2
  Feb 3, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Labda kaamua kubadilisha mazingira(kutafuta kazi sehemu nyingine) baada ya mkataba wake kumalizika
   
 3. K

  Kidatu JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 1,491
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ukishirikiana na mwizi na wewe utakuwa mwizi. Habari co-operation ni mali ya Rostam "Fisadi". Huyu dada amechukua uamuzi mzuri sana kuachana na Rostam, kwani alichokuwa anakifanya ni kuimarisha biashara za Fisadi kwa kutumia pesa za wananchi ambazo ziliibiwa. Dada kaona heri lawama kuliko fedheha, na kama ni kweli huyu dada ni mtanzania basi hata mizimu ya kwao haikuwa na furaha naye alipokuwa na Rostam.
   
 4. Balantanda

  Balantanda JF-Expert Member

  #4
  Feb 4, 2009
  Joined: Jul 13, 2008
  Messages: 12,321
  Likes Received: 1,037
  Trophy Points: 280
  Sory mkulu kiusahihi ni Habari corporation na si Habari Co-operation...Aidha kampuni imebadilishwa jina(baada ya kununuliwa na RA),siku hizi inaitwa New Habari corporation(angalia heading)..Be blessed mkuu
   
 5. M

  Mtu wa Kawaida JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2009
  Joined: May 2, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Je Wakuu mnafahamu wasifu wake vizuri wa huyu dada Rose alipotokea kabla ya kuajiriwa na RA?? Kama naye hakuwa na kaubadhirifu/ufisadi??
  Mwenye data zake alipokuwa TMARC atumwagia hapa ndio tutaweza kumjua kwa undani zaidi
   
 6. J

  Japhet Member

  #6
  Feb 4, 2009
  Joined: Jan 26, 2009
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amefanya jambo la maana sana kusikiliza na kuiheshimu dhamira yake. Uhandishi wa habari ni fani ambayo mwandishi anatakiwa ataumie karamu yake uiongoza na kuielimisha jamii. Kuandika habari zinazopotosha jamii kwa sababu tu ya matakwa ya mmiliki au bwana mkubwa wako ni sawa na kuisaliti na kuifisadi roho yako. Nampongeza kwa kuondoka kwenye utumwa wa pesa. Akitumia taaluma yake na kwa mujibu wa maadili ya fani yake, atasaidia kuihabarisha na kuielimisha jamii. Kama ataona inafaa, ni vyema kwanza akafanye sala ya toba ili aungame dhambi zake alizofanya kwa kuandika habari za kupotosha jamii, ili aisafishe nafsi yake. (ni ushauri tu).
   
 7. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  It was about time , mtu unamtumikia fisadi dhahiri?Heshima yako inashuka katika jamii!
   
 8. Zero

  Zero JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 301
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamaa kaomba "confirmation" ya habari hii. Watu wameshaanza kuchangia na kumuita dada wa watu fisadi nk. Kama alivyosema mwenye thread hii, hizi ni tetesi tu. Ni habari ambazo hata yeye mwenyewe hana uhakika nazo. Hivyo anataka mwenye "data" kamili azimwage hapa.

  Cheers!
   
 9. C

  Chechenya Member

  #9
  Feb 4, 2009
  Joined: Dec 18, 2008
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu huyu CEO tulikuwa naye JKT operation Nidhamu. Mmenikumbusha Vibwende kwa BABU....
   
 10. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #10
  Feb 4, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Dada R. Mwakitwange umefanya la busara katika uhuru wa kuchagua mwajiri unayemtaka hasa pale ambapo una confidence na utendaji, experince na elimu pia. Watoto wa mzee Mwakitwange ni shupavu!!! At least I know some of them!!! For sure kama habari hii ni ya kweli basi ujue kuna reputable institution imemkwapua toka kwa FISADI RA. Natamani hata tusinunue products za New Habari Corporation maana ni kuendelea kumjazia FISADI vijisenti tu.
   
 11. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2009
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Huyo mama kajichagulia fungu jema. Nadhani wanaoweza kufanya kazi kwenye kampuni hiyo bila dhamira zao kushitakiwa na wako tayari kufanya lolote ili kulinda maslahi ya RA ni Deo Balile na Muhingo Rweyemamu tu.
   
 12. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #12
  Feb 4, 2009
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kitendo cha kurudishwa muhingo na wenzake ktk medani ya uongozi wa habari kinyume na matakwa yake ya awali huenda ikawa ni sababu kuu.

  Alipoingia hapo alifanya mabadiliko makubwa ambayo r.a aliridhia.
   
 13. N

  Ngereja JF-Expert Member

  #13
  Feb 4, 2009
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 796
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Source: eastafricapress.net

  Richmond saga slays high-profile editors

  The Richmond saga is still haunting media houses in Tanzania. It has lately found its way to New Habari Corporation Ltd, one of the fastest-growing, where it has wrecked havoc among senior editors.

  Some have had to exit from the company.

  Impeccable sources have confirmed to ET that the paddle emerged after a clique of editors at New Habari House decided to rebuild the image of sacked Prime Minister Edward Lowassa after being implicated in the dubious emergency power supply contract. With him also went two senior cabinet ministers Mr Lowassa is a close ally of the owner of New Habari Corporation, a business magnet and the MP for Igunga, Rostam Aziz. The Tanzanian of Iranian extraction is closely shadowed by the Richmond scam.

  Apparently, Mr Atilio Tagalile, the Group Managing Editor of New Habari Corporation, wasn't ready to soft-pedal on the Richmond saga. So he twice intervened and spiked opinionated features written by some editors in defence of Lowassa.

  Two senior editors at New Habari - Muhingo Rweyemamu and Deodatus Balile - are alleged to have been sympathetic or masterminds of a scheme to redeem Mr Lowassa. They are staunchly behind their boss, Mr Rostam.

  The editors' row at Habari Corporation was triggered by a feature written by Mr Nyaronyo Kicheere, the editor of Kulikoni, a Swahili daily, that described some journalists as ‘bootlickers' of Mr Lowassa and other ministers who were wiped away by Richmond Saga. Mr Nyaronyo did not mention names but indirectly referred to one of Balile's articles that allegedly sought to sanitize Mr Lowassa. He also alleged that New Habari House was established by dubious money.

  While in Mr Lowassa's Monduli constituency a few days after the ex-PM's resignation, Mr Balile, wrote a feature article in Mtanzania daily defending him and claiming he was innocent. He also touched on such mundane issues like how smart Lowassa's wife, Regina, was during the meeting and how Mr Lowassa's trousers were ironed well.

  Upon reading Nyaronyo's article, Muhingo is said to have written an opinion in Rai, where he is the managing editor, about Mr Reginald Mengi, the owner of IPP group of companies, which also owns Kulikoni. His article dwelt on how Mr Mengi allegedly got his ‘dubious' wealth with which he started his newspapers.

  Mr Tagalile allegedly omitted it and asked Muhingo to write another piece. Mr Tagalile's bid to downplay efforts to ‘put Richmond records straight' is said to have greatly infuriated the owner, who is said to have directed the CEO, Ms Rosemary Mwakitwange, to demote Mr Tagalile to the position of editor of The African.

  Employing divide and rule tactics, Mr Aziz found it necessary to consult Ms Mwakitwange and Tagalile himself over his decision, but instead sided with the two juniors.

  Having smelled a rat, Mr Tagalile decided to call it quits at a staff meeting, few minutes before Ms Mwakitwange announced the new changes.

  Three senior officials also resigned in solidarity. The bitter pill was the face-to-face exchange between Mr Tagalile and his subordinate, Mr Balile, in the presence of other staff.

  Mr Balile was probably bitter this time because it was under Mr Tagalile's leadership that he was demoted from Chief Editor of the Swahili daily, Mtanzania, to staff reporter of Mtanzania on Sunday. There wasn't any explanation for his demotion. Now Mr Tagalile was back again, spiking their articles that aimed at defending the owner and cleansing Mr Lowassa.


  The other two who resigned were Ben Mhina, the operations and distribution director, and Chrysostom Rweyemamu, the director of training who doubles as principal of Mamet, a media school under New Habari House.

  Sources confide this exit is just the beginning of the exodus of some other heavyweights in the company as well as senior reporters. Two editors loyal to Mr Aziz allegedly worked tirelessly behind the scenes to force Tagalile out so they could control the newsroom. Tagalile is said to have been a stumbling block to their ‘project'.

  Mr Tagalile was said to be against the move by his two junior editors to ‘cleanse' the former PM through the press, and especially using the papers he was managing. "When the pro-Lowassa editors seemed to carry the weight of the owner, Mr Tagalile called it quits," sources confided.

  Ms Mwakitwange is said to have half-heartedly let go of Tagalile on March 31, 2008. When contacted for comment, she said she was busy with serious company business.

  The Richmond scandal has divided some media houses in the country mainly because of Mr Lowassa's closeness to a great number of influential journalists whom he had been helping materially.

  Only a year ago, Habari Corporation, once owned by experienced journalists Salva Rweyemamu, Jenereali Ulimwengu and Dr Gideon Sho, was on the verge of closure due to cashflow problems. The company had failed to pay salaries and other operational obligations until Mr Aziz bought a controlling stake.

  It was Mr Aziz who reorganised the company and appointed Ms Mwakitwange as CEO and brought in journalists like Mr Tagalile.
   
 14. omarilyas

  omarilyas JF-Expert Member

  #14
  Feb 4, 2009
  Joined: Jan 24, 2007
  Messages: 2,127
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Falsafa ya huyu dada haina tofauti na ROSTAM kuhusiana na UJASIRI wa KUIBA NA KUKUSANYA MALI...Labda wameshindana kwa personality maana wote EGO 1000%

  Jaribu kumjua zaidi uone misimamo yake....

  Tanzanianjeama
   
 15. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #15
  Feb 5, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Ningekuwa mimi ni Rose Mwakitwange nina elimu yangu na experience ningeachana na RA. Siku zote Balile na Muhingo ni wapenzi wa RA, sasa kama CEO atatofautiana nao hasa pale wanapotaka kupindisha ukweli wa habari ili kuwasafisha Lowasa na RA unategemea nini?? Na hapo tu RA alishindwa kumwachisa kazi Mwakitwange kwani anajua ndo mhimili ulioifufua Habari Corporation to a new level performance.
   
 16. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #16
  Feb 5, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kama Rose ameachana na Rostam itakuwa ni jambo sahihi kabisa.Kama wewe unajiheshimu huwezi kufanya kazi na Rostam.Look here folks,it's not about money,it's about intergrity.

   
 17. l

  lageneral Member

  #17
  Feb 6, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu,
  Nilini kampuni hii itatoweka katika macho ya watanzania?Mamluki akina Balile ndio wanaendeleza kuwapamba mafisadi,I believe,mwisho wao umefika
   
 18. F

  Fataki Senior Member

  #18
  Feb 7, 2009
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 151
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kumlinganisha Rosemary Mwakitwange na fisadi Rostam ni sawa na kumlinganisha Kakobe na Zombe!
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Apr 13, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,392
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi kuwa Majembe Auction walikuwa wameingia New habari kudai makato kwa niaba ya TRA.. Wakakubaliana kulipa kidogo na kuweka mipango ya malipo mbele ya safari. Wengine wanadokeza kuwa ni gia ya kushughulia baadhi ya Media Houses in the country..
   
 20. M

  Magezi JF-Expert Member

  #20
  Apr 13, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Yetu macho ngoja tusubiri tuone
   
Loading...