Shein ajitoa kinyanganyiro cha Urais Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shein ajitoa kinyanganyiro cha Urais Zanzibar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Rutunga M, Jul 8, 2010.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Rutunga M

  Rutunga M JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 16, 2009
  Messages: 1,556
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Nimepata taarifa hivi sasa kutoka kwa mmoja wa waandishi walioko Dodoma kuwa kuwa Dk. Shein ameondoa jina kwenye kinyanganyiro cha urais Zanzibar.

  Mwenye data atupatie jamani
   
 2. Malafyale

  Malafyale JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2010
  Joined: Aug 11, 2008
  Messages: 11,209
  Likes Received: 3,622
  Trophy Points: 280
  Siwezi shangaa kujitoa,maana ilionekana kabisa kuwa CCM-Bara ndiyo wanamtaka Shein ili hali CCM-Kisiwandui wakiwa hawamtaki hata kusikia,walikuwa wanamuambia wazi kuwa yeye si mwenzao na hata Katiba inasema wazi kuwa Rais wa ZNZ lzm awe na uwezo wa kupiga kura kwenye jimbo lolote kisiwani ZNZ;Shein hakuwa na sifa hiyo!

  By the way,iweje hadi leo kwenye zama hizi za demokrasia,kikundi cha watu wa Bara overwhelmingly ndiyo wawachagulie ZNZ mgombea wao?Kumbuka mwaka 2000 Dr Ghalib Bilal alishinda kwa kura nyingi kura za wajumbe wa CCM-ZNZ lkn hawa CCM-Bara ikamchagua Aman Karume na kwa uwingi wao mjengoni wakamfanya ashinde;kama Shein kajitoa ni ishara ya wazi kuwa sasa CCM imeanza kuwasikia wapiga kura wa CCM-ZNZ na ni dhahiri sasa Dr Ghalib Bilal ambaye ni hasimu namba moja wa Rais aondokaye Karume atatangazwa kuwa mgombea wa CCM-ZNZ akiendeleza na kurithi makundi yake yale ya Karume vs Komandoo!

  Swali,je ukifanyika uchaguzi wa uhuru na wa haki,Ghalib atamshinda Maalim?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Maalimu hajawahi kushindwa uchanguzi Zanzibar ni hila na fitna tu....ndizo humnyima uongozi
   
 4. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #4
  Jul 8, 2010
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tuwaache Wazanzibar wachague mtu wampendaye. Unajua bara kuna ndugu zetu wanaojidai kuwa wanazijua saaana siasa
  na ndio walio m-mislead shein kwa kuona wamepata tu makamu mwingine wa rais (yule mama au kule monduli) basi hapo wamepata sababu ya kumpiga chini shein. Wanaona kuwa ni wenye nguvu saana kiasiasa kumbe ni siasa za kulazimisha tu. Lakini walijua kuwa shein hatopata na ilikuwa ni kupata sababu ya kutompa umakamu rais tu tena.
   
 5. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  I cant believe lakini kuna post yangu moja ngoja niitafute...

   
 6. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #6
  Jul 8, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli basi wamemuingiza mjini mzee wa watu lakini kuhusu makamu sahau huyo wa monduli atausikia redioni tu.
   
 7. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #7
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Kwani jamani ukiwa makamu wa rahisi lazima pia utake Urahisi wa Zenj ,mi nafikiri miaka sijui 12 ya umakamu urahisi wa daktari Shein unatosha na inabidi akapumzike kwanza huko Mkanyageni akiendeleza ilani za chama chake ati,pia akasaidie Kilimo Kwanza huko Mkanyageni sio lazima atoke magogoni ahamie pale mnazi mmoja
   
 8. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #8
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wengine nimesaikia wakisema kuwa Shein bado hajajitoa na mpambano unaendelea
   
 9. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #9
  Jul 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Karume walidai ni mbaya na CUF walidai kwamba hawamtambui, lakini baadaye wakageuka na kuanza kumlamba miguu na kudai eti aendelee kuwa Rais wa Zenj hata baada ya kipindi chake kwisha! Huyu Shein naye watadai aendelee baada ya awamu yake kwisha, kama atachaguliwa kuwa Rais!
   
 10. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  .... this time for CUF.... waka waka eehee! tatizo kamuungano keti katakuwa mashakani.
   
 11. Jenerali QoyoJB

  Jenerali QoyoJB JF-Expert Member

  #11
  Jul 8, 2010
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 307
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hIZO SIASA JAMANI KAWAIDA KIPINDI KAMA HIKI, INASEMEKANA FITNA HIZO ZINAFANYWA NA WAPAMBE WA BILAL ILI WAJUMBE WAJUE MZEE HAYUPO WAHAMISHE MAWAZO KWA WENGINE NAYE AKIJUA NDO NAMBA MBILI AWE NAMBA MOJA.
   
 12. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #12
  Jul 8, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Tatizo, sera za CUF ni za chuki, ubaguzi, udini, nk.
   
 13. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #13
  Jul 8, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  itakuwa vizuri sana kama atajitoa tuwaone hao wanaojitaa wazee wa ccm kila siku wanataka kupandikiza viongozi wanaoendana na maslahi yao badala ya taifa.

  hawa ccm badala ya "nchi kwanza" wao ni " chama kwanza"
   
 14. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #14
  Jul 8, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  KATIKA MADA KAMA HII (ZINAZOHUSU zENJI) NAMISS MICHANGO YA GEMBE NA MWIBA.
   
 15. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #15
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Kwa kuwa hujui hukutakiwa kuiingiza hii point kwa kuwa unaonekana upo upande gani. You may correct you fact by knowing that Dr Shein hand picked by BWM at his current post after the death of Dr Omari Ali Juma which occured on 4 july 2001. Do the maths now
   
 16. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #16
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Hebu toa synopsis ya hizi sera ambazo umezitaja zinazoendana kinyume na sheria ya vyama vya siasa ya mwaka 1992, inayomtaka msajili kukifuta chama chenye sera kama hizi. Na kwa nini msajili mpaka leo hajachukua hatua muafaka?. Otherwise you will be regarded as a parot who always repeat what others say without knowing the meanings. To show you are not a parot elaborate with vivid examples from CUF policies perspective!.
   
 17. E

  Estmeed Reader Senior Member

  #17
  Jul 8, 2010
  Joined: Mar 19, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tusisahau: Dr Shein, kama atajitoa, ni kwa sababu ya afya yake!
   
 18. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #18
  Jul 8, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Tatizo lako ni kwamba akili na macho yako yanadanganyika na ujanja wa CCM!! Hakuna Rais aliyepata kutawala Tanzania anaeendekeza UDINI na ukabila kama Kikwete; sina haja ya kudhihilisha hilo, mifano iko wazi ila nikuambia tu tabia yake ya kupeleka miradi ya kiwanja cha ndege , bandali na Viwanda ili mradi Bagamoyo ndiko anakotoka ni ashara tosha ya mtu anayejipendelea kwa maamuzi yake bila kuangalia faida kwa nchi nzima.
   
 19. K

  Keil JF-Expert Member

  #19
  Jul 8, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kwani wakati anaenda kuchukua fomu za kuomba ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM, hakujua kama afya yake ina matatizo? Fomu kajaza majuzi tu hapa, sasa ukiniambia anajitoa kwa sababu ya afya, hapo sielewi.
   
 20. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #20
  Jul 8, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  basi ulipoishia wewe kusikia hivyo, mimi nina taarifa kuwa Dr. Shein ndiye atakayepitishwa na CCM taifa kugombea uraisi Visiwani humo kwa tiketi ya chama hicho.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...