Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Haya tena wanajamii CCM imetowa uamuzi utakaogusa mustakbali wa nchi kwa kumteua Dr. Shein kuwa mgombea wa urais wa sehemu moja ya Muungano (Zanzibar) Tulisikia mengi kutoka kwa wana CCM...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwenye uchaguzi mkuu uliopita aliyekuwa IGP Omar Mahita alikuwa akionyesha visu vyenye rangi ya bluu na nyekundu akatangaza kuwa vimetengenezwa na CUF, sasa hii SMG yenye rangi ya kijani na njano...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna tetesi kuwa yule dada aliyekuwa CEO wa New Habari Corporation Rosemary Mwakitwange ambaye pia anadaiwa kuibadilisha New Habari na kuweza kujiendesha kibiashara ameachana na kampuni hiyo ya...
0 Reactions
62 Replies
13K Views
Gazeti la habari leoiImeandikwa na Ikunda Erick, Dodoma; Tarehe: 9th July 2010 CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kwa kushirikiana na Polisi wanawahamisha wapangaji kwa nguvu kwenye nyumba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Naona live kwenye TBC sasa hivi mkutano mkuu wa CCM (national congress) ukiendelea Dodoma. Sehemu kubwa ya mkutano umechukuliwa na burudani za muziki wa ToT, TMK, Dokii, Flora Mbasha, vijana wa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania Daima CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweza kutawala taifa letu kwa muda huu mrefu na chaweza kuendelea kutawala kwa muda mrefu baadaye kwa kile ambacho nakitambulisha kwenu kuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
In his lifetime Mwalimu Julius Kambarage Nyerere wore many ‘hats’. Some of them were outright contradictory or dilemmatic. But such is the inherent nature of our complex humanity. We are...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Majina ya viongozi wetu baada ya uchaguzi ni haya: 2010/15 1.JK-Rais wa URT 2.Karume-VP wa URT 3.Pinda-PM 4.Shein-Rais wa zenj. 2015/20 1.Lowasa-Rais wa URT 2.Karume-VP wa URT 3.H.Mwinyi-PM...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Serikali inaposema inajaribu kutenganisha siasa na uongozi ina maana gani?.Unapokuwa mwanasiasa ni lazima usiwe kiongozi? na mbona huku vyuoni tunakosoma kuna baadhi ya degree program mfano...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Yetu macho, katika hili na hawa ndugu wenye asili ya kihindi , tiba itapatikana? SAKATA la ufisadi katika kitengo cha ushuru wa forodha cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwenye Bandari ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Caroline Mmary This beautiful young mother of 2 was found dead wrapped up in plastic food wrap and black trash bags and buried under a pile of garbage in the back yard of her home. She came...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Alipokuwapo Mama Maria Nyerere enzi zake Ikulu, kazi yake ilikuwa ni moja tu. Kulea watoto na kumsaidia mumewe. Basi. Akafuata Mama Sitti Mwinyi, naye alifanya hivyo hivyo. Tatizo lilianza pale...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
  • Closed
Nimepata taarifa hivi sasa kutoka kwa mmoja wa waandishi walioko Dodoma kuwa kuwa Dk. Shein ameondoa jina kwenye kinyanganyiro cha urais Zanzibar. Mwenye data atupatie jamani
0 Reactions
70 Replies
8K Views
Aondoka ndege moja na Nahodha Aonekana mwenye bashasha nyingi Ameadimika vikaoni muda mrefu Makamu wa Rais, Dk. Ali Mohammed Shein...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Na M. M. Mwanakijiji - NAWEZA kusema kitu ambacho watu wengi tayari wanakijua au kukikubali bila haja ya kufanya jitihada kubwa ya kuwashawishi. Kwamba, bila ya kubebwa na vyombo vya dola na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waziri Masha (Mambo ya Ndani) amesema hivi bungeni, angalia kwenye maandishi ya rangi nyekundu. Fifty Tanzanians renounce nationality By Polycarp Machira 4th July 2010 Some 52...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
WAKATI hatima ya kumpata mgombea urais wa Zanzibar kupitia CCM inaelekea ukingoni mwishoni mwa wiki hii, makundi ya ushabiki yanahaha kuwapigia debe wagombea watatu ambao ni Dk Ali Mohamed Shein...
0 Reactions
22 Replies
8K Views
Jamani hawa vigogo, nadhani shida hipo kwenye katiba yetu, raisi anatakiwa aelezwe kuwa kuna viongozi wangapi katika kila ngazi, mfano mawazinri na wizara na makatibu. source: Safari za vigogo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau kama mnavyofahamu leo hii ndio itifaki ya soko la pamoja la Afrika Mashariki inaanza kufanya kazi. Kuna maengi ambayo yamejadiliwa na kuandikwa humu humu kuhusiana na hili swala na haya yako...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom