Elections 2010 Kazi ya wabunge iwe ni kuwajibika majimboni

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
Wadau mimi nashindwa kupambanua baadhi yavitu kwamaana nakuwa sioni logical!Kwa mfano mbunge anapokuwa amechaguliwa na chama chake inabidi akawatumikie wananchi wake jimboni na baadhi yamambo yanohitaji msaada wa serikali ya pelekwe serikalini.Sasa basi inapokuja Mbunge huyu kupewa cheo kingine zaidi ya ubunge nikumchanganya kiutendaji anakuwa Mkuu wamkoa,Na mwenyekiti wa Bodi!Nilini atawatumikia wananchi wake??unakuta mda mwingi anafanya kazi za serikali,Hata Mawaziri haikutakiwa wawe ni wa Bunge!
Na Rais anapoteua wakuu wamikoa kutoka katika nguzo nyingine yadola ina maana panakuwa hukuna watendaji wengine wakuwekuwa wakuu wa mikoa??Mpaka Bungeni au hiyo ni asante kwa kampeni zilizopita??Wadau hii kuna utawala bora kweli?
:ban:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom