Elections 2010 Nani atakuwa Rais wa awamu ya sita Zanzibar?

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,316
33,112
Dk Ali Mohamed Shein, Mohamed Gharib Bilal,, Ali Juma Shamhuna, Shamsi Vuai Nahodha, Ali Abeid Amani Karume, Mohamed Aboud Mohamed, Hamad Bakari Mshindo, Maalim Haroun Ali Suleiman, Mohammed Yussuf Mshamba, Omar Sheha Mussa, Maalim Seif Sharrif Hamad?

Wakuu nawaombeni Mawazo yenu?
 
vip hali yako ya mgongo umepata tiba Mzizi mkavu?

shein ndo rais, maamuzi ya mwisho tumeyafikia jana usiku
 
naona uyu mzee bilal wazanzibar kiujumla wanamkubali sana isipokua inaonekana mda wote anakatwa jina uku bara, labda kuna kitu wazenji wanakijua kuhusu uyu jamaa na tuwape ili tuheshim maamuzi yao, kwani kama record tu inavyoonyesha, alimshinda karume kwa mbali tu kwenye kura zilizopigwa zenji lakini akakatwa jina alipofika uku dodoma! nadhan apewe uyu jamaa!
 
Ingawa utashi wa Wazanzibari upo kwa Dr Bilal, lakini CCM Bara wanamtaka Dr Shein na atashinda. Ninachopjiuliza ni kuwa watamfanyia nini Bilal? Anaweza kuwa mgombea mwenza wa JK?
 
A.M. Shein ni barabra kwa vile ni mtu asiye corrupt ni wa kawaida sana na pia ni maratibu na ana busara. Zaidi ni Mpemba na hivo anaweza ku-balannce mwenendo wa kisiasa visiwani amabapo upinzani ni kati ya Pemba na Unguja(Kiasi fulani) na kwa upande mmoja na CCM na CUF kwa upande wa pili. Akigombea Shein utabaki upinzani wa aina moja zaidi yaani kati ya CCM na CUF hasa kwa vile CuF nao wana mgombea Mpemba. ILA KUPITA KWA SHEIN INAWEZA IKAWA DISADVANTAGE KWA CUF
 
A.M. Shein ni barabra kwa vile ni mtu asiye corrupt ni wa kawaida sana na pia ni maratibu na ana busara. Zaidi ni Mpemba na hivo anaweza ku-balannce mwenendo wa kisiasa visiwani amabapo upinzani ni kati ya Pemba na Unguja(Kiasi fulani) na kwa upande mmoja na CCM na CUF kwa upande wa pili. Akigombea Shein utabaki upinzani wa aina moja zaidi yaani kati ya CCM na CUF hasa kwa vile CuF nao wana mgombea Mpemba. ILA KUPITA KWA SHEIN INAWEZA IKAWA DISADVANTAGE KWA CUF

Hisia zangu zinanipa hivyo japo hii imekaa ki-bara zaidi maana Zanzibar inaonekana wana movement fulani ambayo ni tofauti. Ngoja tusikie yatakayojili Dodoma
 
Point of correction, Zanzibar inakwenda kwenye awamu ya saba, si ya sita.

1. Abeid Amani Karume
2.Aboud Jumbe Mwinyi
3. Ali Hassan Mwinyi
4. Idris Abdul Wakil
5. Salmin Amour Juma
6. Amani Abedi Karume
7. ?
 
kwa vile rais wa znz atatekeleza majukumu ya znz(yasiyo ya muungano) nadhan ni busara kuwaachia wanzanzibar waamue wenyewe.si vyema dodoma ikawachagulia rais.ukiachilia nafasi za kuteuliwa shein ameonyesha udhaifu ktk siasa za kuchaguliwa.alikosa hata ubunge
 
MMh This is very interesting. In my opinion, Dr. Shein was given the VP position because he is not a strong figure in Zanzibar nor Bara. CCM walitaka mtu wakureplace Dr. Omar Ali Jumaa ambae hatokuwa threat kwa chaguo la BWM in 2005. It worked and they guaranteed his place after Kikwete was elected to the position President. Sasa hapa kuna issue. On the international scene analysts would be of the view that Seif and Karume where the main power houses for Unguja and Pemba. Logic would dictate that notwithstanding a major upset, it would be Seif's turn considering Pemba is behind him and Karume is out now. The problem however is that Bilal is strong very strong in Zanzibar (Unguja) and will accordingly be the best chance CCM has of retaining the presidency there.

CCM bara wants Shein because they thought that they could use his already high profile position him to slide him through the nomination (albeit an impotent position) and control him to keep Zanzibar in check, the union in check and open up the oil resources that could potentially change the geo-politics of the country and the major financial perks that will be accessible to kina Rostam.

I would be surprised if Monduli got a cabinet level position, it would be a scandal but it is possible. For him to get the VP position is unthinkable by and large but there is about a 5% possibility.

This should def be interersting
 
Back
Top Bottom