Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu wana JF harakati za kumzuia mwananchi kupata taarifa kuhusu yanayoendelea ndani ya "serikali yake" zimepamba moto. Kwa upande wangu nafikiri inabidi tujaribu kutafuta maana ya serikali ili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu zangu baada kutafakari kwa muda mrefu na pia kujipanga kiuchumi na kisera nachukua fursa hii kuwatangazia wanajamii wenzangu na watanzania kuwa nimefikia uamuzi wa kuingia rasmi katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, mipaka ya ziwa victoria watu wanataka kuifuta, ili kusiwe na mipaka kabisa. ziwa victoria linahitajika sana kwa uchumi wa kenya pamoja na kwamba wanamiliki asilimia 6% tu ya ziwa, ila wana...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni habari za kusikitisha ila nafikiri ni katika kuwekana sawa kwamba airline industry si ya kujaribu....kampuni ya precission leo hii imethibitika kufuta flt zake za mwanza na kilimanjaro...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Some South Africans are wary. One of them is Desmond Tutu, retired archbishop who voiced his anger and dissatisfaction regarding Zuma. On Zuma’s incompetence, Tutu warned: “Although he is very...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Na Ndimara Tegambwage MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele NI vilio vitupu. Baadhi ya wananchi wenye mifugo – Wamasai, Wairaqw, Wabarbaig na Wasukuma wanawindwa kama swala. Wanaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Na Ndimara Tegambwage MwanaHALISI~Maslahi ya Taifa Mbele NI vilio vitupu. Baadhi ya wananchi wenye mifugo – Wamasai, Wairaqw, Wabarbaig na Wasukuma wanawindwa kama swala. Wanaambiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni kuendelea na mambo yale yale ya serikali ya Mkapa. Kutokuanza upya kuelekea ujenzi mpya wa taifa la kisasa. Ni kutokukata ile kamba inayomuunganisha yeye na Mkapa na hivyo kuendelea na mtindo...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Wakazi wa Kigamboni, jijini Dar es Salaam, wameshutumu serikali kwa kusema mpango wa kuwahamisha ili kupisha wawekezaji kutoka nje ni "wizi mtupu." Wamedai kuwa mradi wa Kigamboni ni wa kupatia...
0 Reactions
18 Replies
7K Views
Without borders... The 100 most beautiful places in the world
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Waziri wa Elimu au Afya hatakuwa na uchungu wa kubadili hali ya shule au hospitali wakati hana mtoto wake anayesoma au kupata matibabu sehemu hizo, viongozi tuache unafiki
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wenzangu inakuwaje hawa viongozi wanatuhamasisha namana ya kuwa na bora maisha, lakini hawatuelezi namna walivyopata utajiri waliokuwa nao ili tupitie njia hizo tuwe kama wao?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ole Sendeka aongezewa mashitaka Monday, 20 April 2009 16:49 Na Glory Mhiliwa, Arusha KESI inayomkabili Mbunge wa Simanjiro (CCM), Bw. Christopher Ole Sendeka ambaye anashitakiwa kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania: School offers free meals, exam results soar Source: United Nations World Food Programme (WFP) Date: 20 Apr 2009 Almost all the students at the Enguike primary school in Tanzania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
SAKATA la halmashauri ya Karatu, kugomea kulipia malazi ya Makamu wa Rais, Dk Ali Mohamed Shein na ujumbe wake limechukuwa sura mpya baada ya aliyekuwa kaimu mkurugenzi wakati wa ziara hiyo, Majid...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Vigogo Deci wasota polisi, Mtikila awatetea Na Waandishi Wetu SAKATA la Taasisi ya Development Entrepreneurship Community Initiative (Deci), sasa liko rasmi mikononi mwa vyombo vya dola...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanamke ambaye ni mwanachama wa CCM ameongaza kura za maoni za kuwania kuteuliwa kuwa mgombea wa kiti cha ubunge cha jimbo la Busanda Mwanachama aliyeongoza kura za maoni za chama hicho ni...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
....atutangazie Watanzania kwamba Sakata la Mkapa kujiuzia Kiwira litaanikwa hadharani hapo February 18, 2009. Ngeleja kufichua siri ya Kiwira na Kulwa Karedia Tanzania Daima~Sauti ya watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hatimaye yule kigogo wa shirika kubwa la Bima hapa nchini Mama Margreth Ikongo ameachia ngazi na kuhamishiwa wizara ya fedha kitengo cha masuala ya Bima. Kama mnakumbuka gazeti la Mwanahalisi la...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Back
Top Bottom