Ccm wakatana mapanga mwanza ,wasshindwa kupiga kura | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm wakatana mapanga mwanza ,wasshindwa kupiga kura

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Aug 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,606
  Likes Received: 5,781
  Trophy Points: 280
  Kwa wale walioangalia TBC habari saa mbili mnaweza kuamini sasa hii biashara ya kupiga kura ilikuwa wizi mtupu ..nasema hivi kwa maana tukianza na dar wameshindwa hata kupeleka viafaa vya kupiga kura...uko mwanza imani ziliwashinda pale walipoakuta majina yao hayapo na ndipo wakaanza mzozo na kuishia kucharazana mapanga ambapo pilisi walikuja na kufunga vituo zaidi ya vi3...kwa hali ii inaonyesha ccm awakujiandaa na hili zoezi ama wamefanya kuwadanganya watanzania kama si wafadhali kuna upuuzi wa democrasia nchini..mmmh sisemi tumwachie mathread
   
Loading...