Elections 2010 Video Clip ya Slaa in Karatu...

Mwaka huu lazima kieleweke. Nimetoka kuhairisha leave yangu na kuipeleka October lazima niwe available na tayari kupambana.
 
Slaa yuko makini. Mimi kura yangu ataipata. Hofu yangu ni je huko vijijini walivyozoezwa takrima ya chumvi, kanga na kofia watamwelewa kweli. Itabidi timu ya CHADEMA ipite kila kijiji kuwahimiza na kuwaelimisha waTZ kuwa kula CCM (takrima ya kanga, chumvi na kofia) lakini kura CHADEMA
 
dah kweli slaa ni mwanamapinduzi jamaa ana uchungu wa ukweli na hii nchi mm nilikua sina mpango wa kupiga kura lakini kwa sasa lazima nipige kura maana naona wagombea wanaweza kuwa wazuri.Tunataka mabadiliko sio zidumu fikra za mwenyekiti vijana tuamke twende tukapige kura tuache kulalamika kwenye net tu.
 
Jamani plzz tujitokeze kwa wingi kupiga kura....! Tuongeze wabunge wa upinzani kwa wiiiingi sana..!

Mungu ibariki tz.
 
MM mimi sion hiyo clip au computer yangu?? Msaada jamani

Mimi nimeiona, jaribu tena kuifungua ukikwama labda compyuta yako muku!..
Si mchezo mwaka huu mpaka kieleweke General Election..Wafanye kampeni vijijini zaidi kueneza sera zao..In Chadema I trust!!!
 
kweli mapambano yameanza na inabidi tuyaendeleze kwa kila njia. hii kitu imebaniwa sana na vyombo vya habari hivyo wengi hawajaweza kuiona. mimi nina mawazo chadema wangeandaa engine ambayo wanatengeneza sms nzuri na kuwatumia watu walio omba kujiandikisha , kwa mfano mimi naomba kujiandikisha kupata sms kila siku nakatwa tsh tuseme 300 kuipata hio sms then mimi naifoward kwa watu walio kwenye phone book yangu nazani tunaweza kusaidia kufikisha ujumbe kwa urahisi. hilo suala mnalionaje na kila mtu anaweza kukisaidia chama kwa njia hii.
faida za huu mtindo
1 mfano mimi nikijiandikisha nitakatwa sh 300 kila siku kupata messege katika hio 300 chadema wanaweza kupata sh 150 kwa kila mtu aliye jiandikisha
2. itasaidia watu wengi kupata taarifa za chama kwani mimi nikiipata hio messege naweza kuifoward kwa watu zaidi ya kumi kwa hio ujumbe kuhusu chadema unaweza kusambaa kiurahisi kuliko kutegemea vyombo vya habari tuu ambavyo kama tulivyo ona havyitoi fursa sawa kwa wote


Wanaforum mnalionaje hilo wazo

 
Zimwi hili litujualo (JK) lina tuna na kutumaliza. Sasa nina kila sababu ya kuamini kuwa "Inawezeka" kuling'oa zimwi hili. Saa imefika ya kumwambia mwenzako awe makini na asikose kupiga kura kwa makini, hata kama kashapewa kanga, T-shirt na kofia za chama cha mafisadi. Ni CHADEMA 2010.
 
Kwanini tunawalaumi vijini? Je mijini tumeishaonyesha mfano wa kuchagua viongozi wazuri?
 
Mzee huyo tishio, tungewekewa roho za wakenya mwezi wa kumi itifaki, noti zingebadilishwa, ila kwa kuwa tumelishwa mapokeo huenda itifaki ikarudi. hata hivyo nampongeza sana mtu makini kama yeye kujitosa huoni sasa watu wanavyohaha, wanaingia kichwakichwa hata kwenye mitego ya TAKUKURU,badala ya kuchora ramani kiaina kama kawaida yao sasa wanajiingiza kiulaiiini sasa hiyo saa nane usiku na simu, bahasha atajiteteaje?:bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl::bowl:
 


"Tanzania inahitaji kiongozi anaeweza kuwavusha watu hawa kutoka kwenye matumaini yaliyopotea kwenda kwenye matumaini mapya, CHADEMA ni tumaini jipya."

Anahutubia kama anahubiri injili ya matumaini ya ujio wa Kristo Bwana.
 
Last edited by a moderator:
hiyo imetulia;ifanyiwe followup,tunanataka mabadiliko ya kweli sio ku-pritend kama ccm anavyofanya.
 
Back
Top Bottom