Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Je hatuoni umuhimu wa Kuwa na ThinkTank za aina mbalimbali nchini kote, au katika kila fani ya maisha yetu? ThinkTank hizo zingeweza kuiamusha au kuishtua serikali yoyote iliyoko madarakani, kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hongereni sana kwa kazi kubwa mnayofanya ya kuikomboa nchi yetu. Kama Mtanzania naomba, PAMOJA NA MAMBO MENGINE, mniruhusu kupendekeza yafuatayo ili yawasaidie katika kutimiza ndoto ya kushinda...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
HABARI TOKA JIMBO LA MTERA LINASEMA MGOMBEA LIVINGSTONE LUSINDE AMEMSHINDA MH. JOHN SAMWEL MALECELA KATIKA KURA ZA MAONI NA ANATEGEMEA KUWA NDIYE ATAYEPITISHWA KUGOMBEA UBUNGE KWA TIKETI YA CCM...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Aliyekuwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, Capt. George Huruma Mkuchika, amepita katika kura za maoni ------- Naibu Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndiyo, nimeshinda kwenye kura za maoni tena nimewaacha mbali sana wapinzani wangu. Sina shaka na kupitishwa na chama kwani sikupata tuhuma zozote zinazothibitika za rushwa ama nyinginezo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Mungu ibariki Afrika 1. Mungu ibariki Africa Wabariki Viongozi wake Hekima Umoja na Amani Hizi ni ngao zetu Afrika na watu wake. Chorus: Ibariki Afrika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
CCM picks Dr Slaa’s namesake for Karatu constituency From MARC NKWAME in Arusha , Total hits: 128...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Wednesday, 04 August 2010 05:20 Na Makumba Mwemezi RAIS Jakaya Kikwete amewekewa pingamizi kortini kugombea urais mwaka huu kwa madai ya matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa fedha za umma...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Tumepokea matokeo ya kura ya maoni juu ya serikali ya Umoja wa kitaifa kwa Zanzibar kama ilivyoambatanishwa.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Tunataka Bunge lenye sura mpya. kero za watu wa chini. Sasa tunakupa jimbo letu, tunataka kero uzifanyie kazi. Najua sisiemu watabana sana, lakini zimwage mjengoni. Wishing u all the best.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
UTHABITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika kupambana na ufisadi nchini, umetiliwa shaka, siku chache baada ya aliyekuwa mwanachama mwandamizi wa NCCR-Mageuzi, Mabere Marando...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sekretarieti ya CHADEMA jimbo na Wilaya ya Kinondoni imemwomba mwanachama wake aliyehamia chama hicho hivi karibuni, Fred Mpendazoe (CHADEMA) kuwania ubunge katika Jimbo la Kinondoni. Tayari...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Kishapu CCM na baadae kukihama chama hicho na kuhamia Chama mfu CCJ na kuhama tena CCJ kwenda CHADEMA, Freddy Mpendazoe leo hii amebwagwa vibaya katika kura za maoni kuomba...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
kwanza kabisa nawapongeza sana wana CCM kwa ukomavu wa kisiasa kwa kuweza safari hii kuchagua mchele na pumba kuwekwa kando. Nimesikia matokeo mbalimbali yanatia moyo, nafikiri safari hii...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wale wapenzi wa Rev chriss ama christopher mtikila kwa walioangalia ITV Kwa huzuni kubwa jamaa wakiwa na defender wamemnyaka na suti yake town na mikanjanaja yake kwenye mabegi na kuelekea...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
  • Closed
This is one of the report that has been circulated for sometime now by Lusinde's camp with incredible help from TISS as I have noted in my previous post. This reporting has unfortunately been...
0 Reactions
70 Replies
9K Views
Linganisha na hawa hapa, chini ndipo utakapojua nani walitayarishwa kwa ajili ya picha na ni nani wlihudhuria tukio kwa kuvutiwa na sera. Nimeanza kupata matumaini.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF, kichenchele naomba mnijuze juu ya hili jambo kisheria na kama katiba yetu ya Jamhuri ya muungano wa Tz imeligusia basi itakuwa ni kauzembe kangu kutoipitia katiba hii na kufahamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Dk. Slaa si tishio kwa CCM ila ni tishio kwa mtu binafsi…hawezi kuwa tishio kwa chama. Nani alikuwa maarufu kama Mrema. "Santuri mpya ikitoka itachezwa katika nyumba mbalimbali lakini baada...
0 Reactions
69 Replies
8K Views
There is suspicion of something very sinister involving these three news outlets - is it some unholy alliance formed for the sole purpose of misleading the electorate and denying them information...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom