Slaa siyo Issue CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa siyo Issue CHADEMA?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kigarama, Jul 29, 2010.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Jul 29, 2010
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti hiyo mara ya mwisho ilihaririwa tarehe 26.03/2010.

  Nikajiuliza ina maana kupendekezwa kwa Dk. Slaa kuwa mgombea wa CHADEMA siyo Issue??
   
 2. minda

  minda JF-Expert Member

  #2
  Jul 29, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135  jibu unalo!

  1. bado wavuti husika haijahaririwa.
  2. muda wa kampeni bado.
  3. chadema ni tofauti na ninyi ccm ambao ni mabingwa wa kutunga na kuvunja sheria za uchaguzi.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Jul 29, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  kumbe Ms upo leo uchafungua pumba zako???
   
 4. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2010
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mambo ya kutungiana uongo hayasaidii katka kujenga hoja au kuzijibu.siyo kwamba kila anayeuliza mambo ya msingi kuhusu CHADEMA ni mwana CCM. Mimi ni mwanachama hai tena wa kupitia mtandaoni aina ya teknolojia iliyotumiwa na chama kupata wanachama wapya.

  Hivi hata kuandika kwenye Website ya chama kwamba kamati kuu ya CHADEMA imempendekeza Slaa kuwa Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA ni mpaka wakati wa kampeni ufike??
   
 5. M

  Malunde JF-Expert Member

  #5
  Jul 29, 2010
  Joined: Jun 16, 2010
  Messages: 311
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Yawezekana CHADEMA wanatumia vema muda wao wakijua kuwa sehemu kubwa ya wapiga kura wa nchi hii hawana access na wavuti.Cha maana wakati huu si kuweka kitu katika wavuti, bali kuona jinsi gani ujumbe unaweza kuwafikia watanzania wengi zaidi, hasa kule kwetu vijijini ambako ndiko watu wanadanganywa zaidi. Watumia tovuti wanaoptions nyingi za kupata habari na kuchambua mambo.

  Kama kuisahau wavuti kunawafanya wawafikie watu wengi zaidi, we need to salute CHADEMA kwa uamuzi huu:A S 39:
   
 6. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Sasa mwanachama hai, unaonaje ungeweka kichwa cha habari hii vizuri ama ukawasiliana na wa husika kwamba jamani wekeni hii habari kwenye wavuti yetu? Nadhani kwa mwanachama hai, ungekuwa umekisaidia zaidi chama chako kuliko kuweka habari yenye kichwa tenge kama hiki! sorry ni mtazmo wangu tu!
   
 7. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kumbe upo mkuu, ningeshangaa kama usingechangia hapa manake huachi kuwashangilia mafisadi, nadhani ulikunywa maji ya bendera ya kijani ukafumbwa macho kiasi kwamba huoni uovu wowote huko. Kimsingi chama cha mafisadi hamuwezi shinda bila rushwa na ole wenu mlimkosakosa Hosea sasa atawanyima pumzi wakati huu!
   
 8. minda

  minda JF-Expert Member

  #8
  Jul 30, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  1. kwani kukuambia wewe mwana CCM nimekutukana?
  2. hiyo ya kamati kuu ya CHADEMA kumpendekeza Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA tayari ipo kwenye tovuti ya chama ambapo tarehe 12 agosti mgombea uraisi atateuliwa
  3. anayetangazwa siyo dr slaa, ni mgombea urais kwa tiketi ya chama kwa kukwepa kejeli simple minded people discuss people
  4. gonga hapa
   
 9. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #9
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  If I am right, Mh. Silaa aliombwa na uongozi wa juu kugombea Uraisi na wiki hii ndiyo amechukua fomu, vikao vya chama vya kumpitisha bado havijakaa.
   
 10. B

  Bull JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mchungaji Slaa ni 'Ceremonial candidate' Bora ajitoe kwani atafedheheka watanzania kamwe hawawezi kuongozwa na chama cha vilaza, ukabila na udini
   
 11. THE GAME

  THE GAME JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2010
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  jamani waliomchagua hawakukurupuka na wala sio vilaza kama ccm na huyu bull,ni watu makini na wenye akili timamu wenye uchungu na hii nchi kuwaamsha walio lala watambue wanahaki ya rasilimali za hii nchi na sio kuzifuja kama ccm.Dk Slaa ni issue sana CHADEMA wewe usiyemkubali bado umelala.
   
Loading...