Slaa in Arusha today | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Slaa in Arusha today

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Invisible, Jul 29, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #2
  Jul 29, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Sijui ni hali ya hewa au ni kamera yenyewe..
   
 3. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #3
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Itakuwa ni 'quality' mbovu ya kamera tu...
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ni hali ya hewa mkuu..kuligoma kukucha kabisa leo
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Duh, ndo nakuona kwa mbali kwenye huo mkusanyiko? lol
   
 6. K

  Keil JF-Expert Member

  #6
  Jul 29, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hilo nyomi CCM wakiliona lazima BP ipande ghafla.
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Jul 29, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Nasikitika nimeukosa huu mkutano
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  ha ha ....yah ni mimi nimekaa pale karibu na jubilee tyres...kweli mkuu una macho...duh
   
 9. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #9
  Jul 29, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Magwanda ya Chadema yanarangi nzuri kuliko ya CCM.

  (I wish Chadema wangelikuwa na mipesa ya kuweza kugawa magwanda yao kama CCM, watu wengi wangelipendelea yao kuliko ya CCM!! lol)
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 29, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Keep on going keep on shining slaa, its our time this year!
   
 11. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #11
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  sawa kabisa...rangi za CCM zinachefua sana.....mimi huwa nikiona wanawake wamevaa hizo kanga zao sijui nawaonaje....leo niliona hizo shamra shamra za kwenda kumpokea Slaa, walikwenda kumsubiria maenea ya uwanja wa ndege......walinivutia sana
   
 12. M

  MC JF-Expert Member

  #12
  Jul 29, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 751
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Mimi sasa nawaza tu njia mbadala za kulinda KURA baada ya uchaguzi, mpaka kieleweke

  Tuwekeeni picha zaidi....
   
 13. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #13
  Jul 29, 2010
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,855
  Likes Received: 2,430
  Trophy Points: 280  ....KAKA ipande mara mbili....Muungwana ameingia homa ni CHADEMA ....kapiga kazi hadi saa kumi ....kamfungia safari ya kumkeshea kucha MSOGA......saa kumi tu alishachomoka ofisini na msafara wake kwenda MSOGA....HADI kesho saa mbili ndio anarudi mjini......kama mnapenda mabadiliko walau kidogo ni lazima kila mmoja kwa imani yake bara na visiwani asali sana tu!!!
  .....sio mnajuwa mafundi wa mzee wakimaliza kazi ...akirudi akiwachekea tu basi ....kila mmoja anasahau machungu......yaani....hii dawa sijuwi ni ile wanayopewaga wapenda mabibi .....wanawake wawakubali tu bila kuhoji???..hamjawahi kuona hiyo .....hadi wanawake wakitoka wanasemezana..."ah sijui nimemkubalije?"....nadhani hiyo imeongezewa nguvu kiasi kuwa watanzania wanampenda muungwana hata wale ambao hawajui amefanya nini.....kama ilivyokuwa 1995....unamuuliza mtu ....unamependa muungwana ..unajuwa rekodi yake kulinganisha na watu kama SAS na wengine???...jibu lake utashangaa ...tena utajibiwa na wake kwa waume...."basi tu nampenda!!"........sijapata kuona ...ukitaka uone basi lazima uwe mtu wa ibada/swala sana!!!
   
 14. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #14
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  mi sio zinanichefua tu.. wife alikuja na li T-SHIRT lina picha ya JK mama yangu mzaza kalikuta nafutia gari asubuhi.....alinuna haswa
   
 15. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #15
  Jul 29, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280

  wewe kweli ulifuatilia hii....kulikuwa na msafara mrefu sana na kuna gari lilibeba na viti kabisa..hahaaaaaaaa JK kazi unayo mwaka huu..chuma hicho ushindane nacho sio una kazi ya kuchekacheka tu
   
 16. Lyangalo

  Lyangalo JF-Expert Member

  #16
  Jul 29, 2010
  Joined: Sep 10, 2009
  Messages: 681
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Tena ukute imevaiwa hajafuliwa kitambo utakoma nazo. CCM mwaka huu wao
   
 17. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #17
  Jul 30, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180

  Safari hii inaelekea ndugu zetu wenye maradhi ya ngozi itatubidi tuwalinde sana ama sivyo watakwisha kama mtindo wenyewe ndio huo!!
   
 18. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #18
  Jul 30, 2010
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu Mikaeli asante sana,
  Kwakweli inabidi kwa sasa wote wapenda mageuzi tuingie katika swala na maombi, kama kuna nguvu za giz zishindwe na zipitilizwe na Nguvu ya jehova!
  Hii story ya vigagula ni ya siku nyingi mkuu.. kuanzia yule jamaa aliyekuwa naye yuko vizuri Mwanza wakagongana uso kwa uso! kwakweli tuombe huyu shetani ashindwe sana kutugeuza watanzania ma ndondocha! Inawezakana, Mungu wetu ni mwenye haki tukimuomba tasikia.
   
 19. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  Mwendo ni huo huo mpaka Oktoba 31! Itabidi kieleweke tu, wafanye wanavyofanya, tumtegemee Mungu hatatuacha wakiwa tena...
   
 20. M

  Mutu JF-Expert Member

  #20
  Jul 30, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  more pics pleas wenyenazo
   
Loading...