Mathread kwa heshima ya chama;tunaomba kesho mtueleze uhuni uliofanyika dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mathread kwa heshima ya chama;tunaomba kesho mtueleze uhuni uliofanyika dar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Aug 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,585
  Likes Received: 5,771
  Trophy Points: 280
  Kwa heshima ya chama na serikali kwa ujumla
  kwa heshima ya wana ccm wote wanaokitakia chama chao mapenzi mema
  ninatarajia kesho kumwona mzee wetu mathread akieleza imekuwaje uhuni ama naweza ita utapeli wa kura uliofayika dar na kufikia watu walioshindwa kuvumilia kuchana leja za majina baada ya kukuta karatasi za kati azipo..je mlikuwa amjajiandaa na uchaguzi huu ama mliutangaza ili mpate misaada nje mjulikane kuna democrasia..anyway nisikusemee moyo mzee makamba natumaini kwa mvi zako ntakuona kesho kwenye runinga kama ulivyotoka kabla ya uchaguzi
   
Loading...