Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu DK. Slaa apendekezwe na kamati kuu ya CHADEMA kuwa mgombea wa Chama hicho nimetembelea tovuti ya CHADEMA kuona kama habari yake imepewa nafasi ya kwanza lakini nimeambulia patupu. Tovuti...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
'siamini hata kidogo kuwa watoto wanaozaliwa na mama au baba fulani ndio wana uwezo au kipaji cha kuwa viongozi ' Hayo si maneno yangu bali maneno ya Hayati Baba wa Taifa Mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa jinsi hali ya kisiasa na joto la uchaguzi lilivyopanda, binafsi sichelei kuyamka kuwa hakuna kizuizi kitakachomzuia Dr. Slaa kuingia Ikulu baada ya Oktoba 31. Mtu pekee ndani ya CCM ambaye...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Raia Mwema: Slaa awataka Duni, Hamad wa CUF Baada ya mgombvea urais kupitia Chadema, Dk W. Slaa kubadili upepo wa kisiasa nchini kuelekjea uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho sasa kimo katika...
0 Reactions
75 Replies
7K Views
Taarifa za jana usiku zinaeleza kwamba kuna watu wanaojiita maofisa wa Takukuru walikuwa wakipitia katika mabaa na kuwabughudhi wagombea wa CCM waliokua wakijipongeza kwa kunywa bia ama kula tena...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hi dear friends, Me and my little ones (vinzi) we have been moving around the country following CCM's election primaries. It has come to my attention that yesterday RO has confirmed what some of...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Slaa avunjika mkono • Alianguka bafuni, apanda jukwaani na POP na Kulwa Karedia SAFARI ya mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Speaker Sitta scolds PCCB over wife’s ‘mistreatment’ By DAILY NEWS Reporters , Total hits: 15...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Alianza Shamsa ... sasa naona Shy-Rose anafuata nyayo.... Inawezekana huna chochote cha kuwaambia wapiga kura zaidi ya kupiga magoti na kuomba wakuchague? Jimbo la Kinondoni Mgombea ubunge...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Nimeona nyomi la watu, check hapo chini mniambie wadau. 1.Mwenyekiti wa CHADEMA akiwatambulisha wakazi mjini Mwanza. 2.Mwanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mabere...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Katika hatua nyingine, chama hicho leo kinazindua mpango wa Saidia Slaa Ashinde (SASA) katika mkutano utakaofanyika mjini Arusha. Akitangaza mpango huo, Bw. Wilfred Lwakatare ambaye pia ni...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za Jumapili wadau? Vipi,hivi kwa kuwa Pasco yupo Zenj ndo hakuna tena wa kutujuza yanayoendelea kwenye kura za maoni za CCM huku bara? Invisible vp,tunakutegemea mkuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mungu awaongoze mchague wale walio wa mungu na sio waliowapa vijisent mungu awabariki
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimefuatilia kwa karibu sanani vyombo vingapi viliandika kuhusu Dr. Slaa kule Arusha na jimboni kwake juzi ilee, lakini ukweli ni kwamba ukiacha kwa upande wa TV stations; Channel Ten na ITV hawa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna mtu ana taarifa na habari hii Makombora ya Dk. Slaa haya Mwahilisi haifunguki Bandwidth Limit Exceeded...
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Kwa walioangalia TBC1 taarifa ya habari inaonekana TAKUKURU wameamua kudili na CCM.... Huko iringa mwandishi wa TBC1 anasema Mh Mungai na Bw Frank Mwakalebela wamehojiwa baada ya kukutwa wakigawa...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kama tutarajiavyo kesho ni kesho aliesema keshokutwa mwongo..wapendwa wana ccm tunaomba msituchagulie mafisadi na kuja kulalamika wakiwa bungen..naomba mjue apandae Bangi atavuna Bangi..kama...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani kama vyombo vya habari kama issamichuzi.blogspot.com, TBC na Star TV havitaki kuleta habari; kwanini website ya Chadme (i.e. Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)) haiwi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari Ndo Hiyo Mwaya . . . . . Habari kutoka kwa Wadau zinasema kuwa anagawa pesa si kawaida na ni kwa muda mrefu tu. Wapiga kura waliokwazwa naye wanayo matumaini bado kuwa hatimaye naye...
0 Reactions
6 Replies
8K Views
Back
Top Bottom