Kadi 400 feki za CCM zakamatwa Ilala - Jangwani, Uchaguzi wafutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kadi 400 feki za CCM zakamatwa Ilala - Jangwani, Uchaguzi wafutwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Aug 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,763
  Trophy Points: 280
  Ayawi ayawi yamekuwa
  kadi 400 za waanachama wa ccm feki zimekamatwa ktk kinyanganyiro cha uchaguzi ilala jangwani huku wakilalama iweje uchaguzi ukafanyike nyumbani kwa mjumbe;;matatizo haya yameonyesha ni jinsi gani sisiem inavyotuibia kwenye uchaguzi kama uchaguzi unaowahusu wenyewe kujiibia wenyewe kwa wenyewe...hii ni hatari;mbaya zaidi wanachama wakawakamata wahusika wakaambiwa wameletewa kadi usiku wa manane na mjumbe ..ndio maana tuko hapa kweli atuhusiki na wengine tunakaa mbali kabisa tumeletewa kadi tuwahi...hii ndio ccm...
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,583
  Likes Received: 5,763
  Trophy Points: 280
  Wizi utapeli;uhuni na matukio yasiokuwa ya kawaida kwenye uchaguzi wa leo uliowajumuisha ccm unaonyesha ni jinsi gani tutarajie uchaguzi wa vituko ukifwatiwa na wizi wa majina,kuchanwa kwa leja,ngumi,na mengineyo haya yanaonyesha jinsi gani mchezo mchafu tuutarajie oct 2010..ipo kazi nasema nikiimaanisha ..nimeona zaidi ya vituo kadhaa awajapiga kura so na hili sio kucheka we wa pembeni jua linakuja oct..haya wapinzani kazi kwenu mmeona njia zitakazotumiwa tusubiri yetu macho
   
Loading...