Picha Kutoka BBC: Kura ya maoni yafanyika Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha Kutoka BBC: Kura ya maoni yafanyika Zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by X-PASTER, Jul 31, 2010.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  BBC Badilisheni hii Picha.

  [​IMG]

  Hii Picha ipo kwenye kurasa ya mbele kabisa kwenye tovuti ya BBC swahili, hakika ilinistua kwa kuiona hii picha nikajuwa kuwa kuna matatizo kwenye upigaji kura ulojiri tarehe 31 July 2010
   
 2. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  somehow this bbc is stupid enough
   
 3. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2010
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Naona wameshaiondoa. Hii nadhani ilikuwa ya 2005
   
 4. P

  Percival JF-Expert Member

  #4
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 23, 2010
  Messages: 2,565
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hawa BBC kazi yao bado ni ile ile ya uchochezi na vitina. Kwa nini wanaweka picha ya zamani ambayo haihusiani na kura ya maoni inayoendelea sasa ?

  Hawafikirii uzito wa habari wanazotoa kabla ya kuzitoa. Vipi watu watafikiria wakiona picha hii na hali wanasikia uchaguzi unakwenda shwari ?

  Watamzania chichungeni na hawa wafitinaji.
   
 5. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #5
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Wakuu,

  Wamewasoma na kurekebisha haraka, nadhani 'response' hii inatia moyo; huenda waliteleza :biggrin:
   
 6. Bantugbro

  Bantugbro JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 22, 2009
  Messages: 2,684
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wahuni sana hao..
   
 7. M

  Mutu JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  bado ipo wanaosema haipo haipo vp?
   
 8. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #8
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
 9. MrFroasty

  MrFroasty JF-Expert Member

  #9
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 701
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Picha bado ipo, BBC is doomed.If you dont have picture of the event you dont put a picture.But putting an old violent picture, on a peaceful event doest work with me.

  Anyways, some of these news agent like to project bad image of Africa.Thats just a general issue not just about Zanzibar, dont get embarrassed when a muzungu think every african live in hunger or dying in a primitive life survival techniques :A S shade:
   
 10. K

  Kinombo JF-Expert Member

  #10
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 24, 2007
  Messages: 332
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mbona kama askari wa jiji hao? si vita na Machinga hiyo
   
 11. Kabuche1977

  Kabuche1977 JF-Expert Member

  #11
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  ahahahaaaaaaaaah, hawa jamaa wamezidi kutuona sisi wajinga, hata masuala yahusuyo amani they try to potray bad image of Africans, they are dumb enough, hawajui kuwa sasa ni wakati wa mwafrika kushine, mimi juzi tu huku nchini kwa watu, tulikuwa bar jamaa nikawapiga round, wanashangaa sijui wanaona mtu mweusi hawezi kupiga round, au hana hela---halafu mzungu mmoja ananiuliza eti oh kwani unatoka nchi gani, nikamwambia Tanzania, jamaa anashangaa, jamaa wajinga sana hawa, wakimwona mtu mweusi wao wanafikiria matatizo tu
   
 12. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #12
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Huwa smtmz wanapenda kutrigger kidogo, hii picha ni ya very long ago!
   
 13. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #13
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Naamini wamesikiliza na tayari ilishaondolewa na kutumia picha ya ramani ya Tanzania. JF ni balaa.
   
 14. Oxlade-Chamberlain

  Oxlade-Chamberlain JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,928
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Na mimi niliona pia hio picha sema sikupata wasi wasi sana kwani JF ilikuwa ishanipa taarifa kwamba kila kitu kimeenda shwari.
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Aug 2, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  km washatoa hii habari ni vzuri sana waache kabisa ujinga wao
  wanatamani daily afrika kuwe kuvita vita ili wanufaike ndo mana ata wanajifariji kwa kuweka picha huzuni km izi
  p....vu zao!
   
 16. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #16
  Aug 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160  Lakini wanaopiga picha hizi sio waTZ wenzetu, si wana waandishi wao Tanzania? By the way, you should know by now that lots of these guys (wazungu, donor agencies) profit a lot from elections and in country-with-wars. At times, siwezi kujua sympathy yao kwa nchi zenye vita na masikini ipo kwa kiwango gani. Ukitaka kuelewa hili, study war in DRC and other countries in Africa. Utajua nani anapeleka silaha, wanatoa hela ngapi za misaada na zinaenda kwa nani (staff wao, vifaa vyao, magari yao). They are called Ambulance Chasers! Nyerere ndio aliwaweza mabeberu kwa kiasi chake.
   
Loading...