Meya londa agombea udiwani dar ubunge sehemu nyingine inaruhusiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Meya londa agombea udiwani dar ubunge sehemu nyingine inaruhusiwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pdidy, Aug 1, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 1, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,692
  Trophy Points: 280
  Wapendwa naomba msaada wenu
  leo hii nimeona sehemu nyingi za kupiga kura dar kawe wakitukana nana hasa
  na wengine kulalamikia iweje londa anagombea udiwani huku kinondoni
  na ubunge seehemu nyingine wakati huo huo..je hili ni ruksa CCM??
   
 2. H

  Hofstede JF-Expert Member

  #2
  Aug 1, 2010
  Joined: Jul 15, 2007
  Messages: 3,584
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 0
  Ana-manage portfolio kwa ku-spread risk: Hawa jamaa hii ni business, sasa anaogopa kuweka mayai yote kwenye kikapu kimoja maana kikianguka huna kitu tena. Sasa ndiyo ninaamini kuwa chaguzi kuu zote huwa siyo huru na haki.

  Ninawashauri kamati kuu, kuangalia uwezekano wa kuachia wapinzani 40% mwaka huu najua huwa wanachaguliwa kihalali ila hawatangazwi. Hii itakuwa na manufaa kwa CCM. Kama watu hawa ambao wengi (99%) ninaamini wapo CCM kwa masilahi binafsi watakuwa na imani kuwa kushinda si lazima uwe CCM, basi Chama kitabakia na watu safi na wenye nia njema na Tanzania.
   
Loading...