Waliohusika katika hili wasiachwe hivi hivi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waliohusika katika hili wasiachwe hivi hivi...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, Jul 31, 2010.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Ikiwezekana wacharazwe bakora kadhaa mbele ya kadamnasi ili iwe fundisho mbele za watanzania kuwa sasa tumedhamiria kuifuta rushwa!

  Hii ni fedheha si kitaifa tu bali kimataifa pia...

  What a shame? If our president has got them 'balls' he needs to act ASAP!

  =====================

  July 19, 2010

  Tanzania is to set up a new state airline to replace the ailing Air Tanzania Company, bowing to pressure from Chinese investors who are refusing to take over debts incurred by the airline over the past four decades.

  The formation of a new airline, to be announced after the end of the national parliamentary session, was at the centre of prolonged negotiations with Hong Kong-based Sonangol International, which have taken about three years.

  Recently, it was reported that the government was considering abandoning the negotiations altogether and was in talks with Air Zimbabwe for a possible joint venture.

  It now appears the Chinese temporarily pulled out of the discussion because some officials of ATCL solicited a 10 per cent bribe from Sonagol.

  The investor wanted stern measure to be taken against the culprit but nothing so far has been done despite evidence being presented to the authorities.

  The Minister for Infrastructure Development, Shukuru Kawambwa, ruled out the possibility of "dirty deals."

  The EastAfrican has been informed that Sonangol does not want to be associated with the debts ATCL accumulated over the years due to poor management, corruption and overstaffing.

  ATCL's debt is estimated to be over $20 million.

  The government has since 2007 allocated Tsh14.89 billion ($10.6million) to save the state-owned airline from bankruptcy.

  Dr Kawambwa said the Chinese company agreed to take 49 per cent of the government's stake in the company and its corporate strategic plan needs $507.7 million to implement.

  An odd aspect of the deal is that Sonangol invested $21.27 million in the airline, which partly went to buy two Dash 8-Q300 aircraft, in 2008 before any formal agreement was reached.

  The Chinese investor also "showed commitment" by constructing the new VIP building at the Julius Nyerere International Airport in Dar es Salaam.

  The Deputy Minister for Infrastructure Development, Hezekiah Chibulunje, said in Dodoma last week that the government has not set a timeframe but the discussion should end soon.

  "After an agreement was reached, the Chinese company in co-ordination with ATCL came up with a long term strategy, dubbed the ATCL Strategic Plan," he said.

  It is expected that the operations of ATCL will return to normal after securing a partner investor, but Mr Chibulunje expressed concern over the delay in concluding the talks.

  "We have started initiatives to look for other strategic investors, if talks with the current Chinese investor stall," he said.

  ATCL is still haunted by the failed 49-per cent privatisation to South African Airways, which ended in 2006.

  According to the country's Privatisation Act, publicly owned companies should be privatised through a tender process.

  Sonangol first approached the government as a lender.

  It expressed willingness to bailout the failing airline on condition that the government acted as a guarantor to the lending process.

  The company also promised to finance ATCL's long-term plan to acquire a modern fleet of Air Bus A320-214, a multimillion dollar project that was set to start delivery by 2011.

  But Sonangol later changed its tune, and started to negotiate as a strategic partner, insisting that it would only release additional money after the takeover deal was signed and sealed.

  Air Tanzania came into being in 1977 after the collapse of the first East African Community, and the splitting of the East African Airways into national carriers.

  Earlier, the government had said it was seeking new bidders to strengthen ATCL in order to lure US investors who have shown interest.

  US firm firm, Celtic Capital Air Corporation, had shown interest in the airline, as has five other firms based in the US, the UK and the United Arab Emirates.

  ==========================

  Chanzo:

  [​IMG]
   
 2. m

  mtemi Member

  #2
  Jul 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nchi imeoza tushirikiane tumweke mchukia ufisadi dr slaa ili afanye kazi ya kuridisha heshima ya nchi
   
 3. Lukolo

  Lukolo JF-Expert Member

  #3
  Jul 31, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 5,137
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Katika mambo makubwa aliyoyafanya Kikwete akiwa madarakani, ni kuua hili shirika la ndege pamoja na kuongeza rushwa kwa kiasi cha kutisha. Tunarudi kulekule kwa Mwinyi. Sasa hivi Tanzania ndiyo inaongoza kwa Rushwa Africa Mashariki kwa hiyo si hili tu la tenda ya ndege, bali pia katika mambo mengine mengi zikiwemo huduma za jamii.

  Kama tayari magazeti ya Africa mashariki na report mbalimbali za Africa Mashariki zimeshakiri kwamba Tanzania ipo juu kwa rushwa, unategemea wangefanya nini? Wanatimiza wajibu wao kama ambavyo Kikwete aliwaambia kwamba rushwa haiepukiki. Ukiangalia wanayoyafanya wagombea wao hivi sasa ndo unapata maana halisi ya CCM ni nini.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  Jul 31, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,390
  Trophy Points: 280
  That is imposible! in Tanzania? kiongozi gani atahitaji 10 percent?
   
 5. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #5
  Jul 31, 2010
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  10% zinamaliza taifa letu!..Yani mtu haangalii kutekeleza kitu kwa maendeleo ya taifa, tayari anawazia 10%..Hapo utendaji utaendaje!!!
  Tujilaumu watanzania kwa hali ya nchi yetu!!
   
 6. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #6
  Jul 31, 2010
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mpigie kura Dk Slaa
   
 7. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #7
  Jul 31, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  I agree with you Mwanakijiji, 10% was a way of past I think now they are on 40% or more! Only Dr can stop this!!!!
   
 8. T

  Tongue blister JF-Expert Member

  #8
  Jul 31, 2010
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 361
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I guess tunaelekea mahala pabaya zaidi, Na hili likiendelea maana yake ni kuleta umimi wa kujinufaisha katika deals chafu. Hili la ugumu wa kuwekeza Tanzania lipo kwenye riport za dunia na si siri kwamba Katika nchi za Afrika, Tanzania ni nchi ambayo ni ngumu katika kuwekeza kutokana na ugumu wa kupata vibali na data muhimu.

  Hili tulikubali au kulikataa lipo ndani ya shughuli za kiongozi wetu mkuu wa nchi, Huwezi mfunga paka kengele, Kila anapo jaribu kugusa pana moto na mkondo upo hapo.
   
 9. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #9
  Jul 31, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Dr. Slaa kasema wakati wa kampeni ataeleza biashara za ajabu ambazo hawa viongozi wetu wa sihasa wanafanya.
   
 10. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #10
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Ndo mambo ya ufisadi hayo kwani mmesahau?
   
 11. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #11
  Jul 31, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Hii 10% unakusudia ni ndogo? basi wametumaliza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:shock::shock::shock::shock::shock:
   
 12. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #12
  Jul 31, 2010
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Rushwa imewaacha wachina wakishangaa...hahaha!this is serious!
   
 13. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #13
  Jul 31, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Na hizi longolongo zikizidi wataenda Rwanda, Uganda kama KLM walivyoenda Kenya . Miaka si mingi tusishangae safari za tanzani kwenda Ulaya na marekani zitakuwa Via Kigali or Via kampala or Via Nairobi.

  Hakuna vinzi wakutafuta majina ya wajumbe waliokuwa kwenye GNT(Government Negotiating Team)? .

  I assume Katibu mkuu wizara ya miundombinu na Mkurugenziwa wa ATCL lazima ni baadhi ya wajumbe walinaohusika kwenye mazungumzo
   
 14. C

  Chuma JF-Expert Member

  #14
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  ...Mataka yu wapi siku hizi?..... "the Killer of ATCL"
   
 15. C

  Chuma JF-Expert Member

  #15
  Aug 1, 2010
  Joined: Dec 25, 2006
  Messages: 1,330
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wachina nao ni Watoa Rushwa...it seems hawana pesa kwasasa kuwekeza huko ATCL !!!....kwa wenye kutaka kufanya utafiti Juu ya Hili la ATLC na Wachina waendelee watagundua mengi....may be kilichoandikwa ni tone tu
   
 16. Mpambalyoto

  Mpambalyoto JF-Expert Member

  #16
  Aug 1, 2010
  Joined: Mar 26, 2010
  Messages: 752
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno Mkuu Chuma, thx!
   
 17. K

  Keil JF-Expert Member

  #17
  Aug 1, 2010
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Naona walitaka more than 10%, maana sioni uwezekano wa kiongozi wa Tanzania aombe 10%, lazima watakuwa waliomba more than 10% na wachina wakaona hailipi, bora wajitoe tu.
   
 18. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #18
  Aug 1, 2010
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Kawaida hata kama ni zaidi ya 10% lakini wengi hutumia TEN PERCENT... Huenda ni 45% :lalala:
   
 19. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #19
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,221
  Likes Received: 7,342
  Trophy Points: 280
  Mkuu MMKJ,

  Yes ''it is impossible'', lakini hakuna wa kusimamia nidhamu na kama yupo hafanyi hivyo.
  Bodi ilishasema Nyang'anyi aliwahi kufanya madudu yenye harufu 10%, amefanywa nini hadi sasa. Kisa rafiki ya mzee.

  ATCL kufa au rushwa ni JK 100%. Mkurugenzi, mwenyekiti bodi, waziri, naibu waziri, katibu mkuu wote ni wateuliwa wa JK!
   
 20. Profesy

  Profesy Verified User

  #20
  Aug 1, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  If people vote for this guy. WE WILL BE THE POOREST NATION ON THE PLANET. KUDADADEKI!!!
   
Loading...