New kigoda/epa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New kigoda/epa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mwanatanu, Aug 19, 2010.

 1. mwanatanu

  mwanatanu JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 22, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  hii article hapa chini ni kutoka gazeti la mwanahalisi........kama ni kweli basi twazidi twafwa
   
 2. R

  Ramos JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wana dola, wana mahakama, wana kila kinga. Lakini inaingia katika rekodi. Siku moja watajibu...
   
 3. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Inanikumbusha mbaaali kweli!!

  Mediapix....mkatab Tz....malipo yanafanywa kwa Benki ya Canada.....mabango yanatengenezwa China....
  Ramju(kwanini jina moja?)....username ni Zahur....kampuni yenye akili inatumia free-email ya hotmail (ambapo hata kampuni dogo la kutengeneza mikate canada hawataki kutumia yahoo or hotmail kufungulia company emails)

  Ama kweli Tanzania ni zaidi ya uijuavyo.
   
 4. k

  kingwipa1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Yanayofanyika nnji hii ni zaidi ya yale yanayofanyika kuzimu.

  huenda shetani alitupwa tanzania!!!
   
 5. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Thumbs up to Saed Kubenea and MwanaHalisi for daring to say, no matter what.... May God Bless you abudantly!!!
   
Loading...