Over 4,000 CCM members defect to CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Over 4,000 CCM members defect to CHADEMA

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtu66, Aug 10, 2010.

 1. Mtu66

  Mtu66 Senior Member

  #1
  Aug 10, 2010
  Joined: Jun 26, 2007
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  About 4,103 Chama Cha Mapinduzi members in Orkolili ward in Siha District, Kilimanjaro Region, have defected to the opposition Chama Cha Democrasia na Maendeleo (Chadema).

  Speaking to 'The Guardian' at Orkolini village during a ceremony at which over 500 Chadema membership cards were issued to the newcomers from Donyomorwa, Orkolili, Embukony and Ormelili villages over the weekend, they claimed that what prompted them to defect from their former party was because CCM had failed to fulfill pledges it made more than a decade ago.

  Despite being loyal to the ruling party and regular taxpayers, some of the interviewed villagers alleged that the ruling party had failed to provide them with basic necessities such as a hospital, water for domestic use and good roads, hence most of them were compelled to walk long distances to look for the facilities.

  According to Zakayo Mollel and Ruth Gloriti, both of them former CCM members who had defected to Chadema, the outgoing local lawmaker had failed to accomplish his campaign pledges and voting him back into office would be tantamount to mainting the miserable situation for another five years.

  "As you can see, our roads are in pathetic situation and our children are learning under very tough conditions. We don't really see why we should support someone who goes to parliament for his own sake," said Molel.

  Handing out membership cards to the new members, Chadema regional secretary Bazil Lema commended the villagers for their move and promised to team up with them in bringing positive community development.


  "Our aim is to strengthen the party from the grassroots so that we can have a strong party that will lead you to social-economic development that you have been waiting for for the last decade. We are ready to work with you towards the needed development," he said.


  SOURCE: THE GUARDIAN


  CCM mwaka wa kuvuna mabua huu
   
 2. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Na hapo mbaado sana kuona mengi! Ikijafika Oct 31 wengine (Makamba na Vuvuzela wake) pressure zitafika 200/140!
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kama ni mvua basi hiyo rash rasha
   
 4. MANI

  MANI Platinum Member

  #4
  Aug 10, 2010
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,413
  Likes Received: 1,873
  Trophy Points: 280
  Ni matumaini yangu kuwa yaliyoikuta KANU hatimaye CCM iko njiani. Oktoba ifike tuizike jumla isifufuke tena kama KANU.
   
 5. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,813
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  Hiyo imetulia sana. Sasa hao 4000 wahamasishwe wasisahau kwenda kupiga kura, ndo itatulia kweli kweli!
   
 6. M

  Msengapavi JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 23, 2008
  Messages: 4,813
  Likes Received: 2,753
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa, dalili za nyakati zinaonyesha waziwazi kuwa " TANZANIA BILA CCM INAWEZEKANA"
   
 7. T

  Tata JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2010
  Joined: Dec 3, 2009
  Messages: 4,744
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Aaah wapi. Hawa jamaa wa CCM hawahitaji kura kushinda uchaguzi mfano mzuri umeuona kwenye kura ya maoni. Na kwa bahati mbaya sijaona mpango mkakati wowote toka chadema kuhakikisha kuwa kila kura halali inahesabiwa na kura haramu inadhibitiwa. Lakini pia hata wakishindwa kuiba kura huwa wanatangaza aliyeshindwa kuwa mshindi na aliyeshinda kuwa mshindwa. Muulize Lwakatare analijua hili vizuri sana.
   
 8. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  duuuh sasa hii inatisha
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ni gazeti la nani hili? Mhhhhh
   
 10. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,231
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  la CCM. kwani vp?
   
 11. Mwanamosi

  Mwanamosi Member

  #11
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  VP WANAOJIUNGA CCM MBONA TAKWIMU ZAO HAZIJI???? AU TUNATAZAMA WANAOTOKA TU???
  NADHANI IKO HAJA YA KUTAFITI NI WANGAPI WAMEINGIA CCM TUSIJEDANGANYIKA NA TAKWIMU HIZI TUKAJUA TAYARI UPINZANI USHACHUKUA NCHI COZ HIZI NDO TAKWIMU ZINAZOLETA SHIDA MATOKEO YAKITOKA NA KUANZA KUHISI NI WIZI WA KURA KUMBE WALIHAMA 4000 WAKAJIUNGA 8000...LOLOTE LAWEZEKANA BADO NGOMA MBICHI!!!!!!:fencing:OKTOBA NDO MSEMA KWELI!!!!!
   
 12. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #12
  Aug 10, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  nani akupe , mwambie Makamba akupe ama Tabwe hiza, daaah .
   
 13. M

  Masonjo JF-Expert Member

  #13
  Aug 10, 2010
  Joined: Aug 8, 2010
  Messages: 2,725
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Msiwe wepesi kuuamini uongo.
   
 14. T

  The Patriot Member

  #14
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haha, mnanichekesha sana! nadhani mnafuatilia kwa makini sana vipindi vya ucheshi. Watanzania gani hao mnaodhani ni mazuzu kuweza kuacha almasi yao CCM na kuchukua kipande cha chupa chadema, eti kwa kuwa kinalazimishwa kuonekana kinang'aa kuliko almasi!
   
 15. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #15
  Aug 10, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,723
  Likes Received: 1,218
  Trophy Points: 280
  He! Kumbe walio kwenye somnambulism bado lukuki.
   
 16. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #16
  Aug 10, 2010
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  mwanamosi ngoja nikuulize....NGOMA YA WATOTO INAKESHA.......?
   
 17. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2010
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,500
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Si Lwakatare tu, hata Biharamulo ilitokea hivyo hivyo. Ila CCM wasiendelee kujidanganya kuwa wataendelea kutumia ubabe wa dola kujitangazia ushindi. Wameona wanachama wao wanavyoandamana kupinga ubadilishaji wa matokeo, wakilazimisha matokeo ya uchaguzi mkuu maandamano yaweza kuwa ya watanzania wote nchi nzima - na hatari itakuwa ya wazi wazi
   
 18. Shoo Gap

  Shoo Gap JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 236
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ninashangaa sana jinsi ambavyo CHADEMA inapoteza umakini wake. Swala la members wa CCM kuhamia CHADEMA linachukuliwa kirahisi sana lakini halipaswi kuchukuliwa hivyo. Taarifa zisizo rasmi ni kuwa kuna mamluki lukuki wametumwa kuibomoa CHADEMA, wengine wameshawapokea na kuwakubali kuwa wagombea wa ubunge na udiwani. Time will tell. Washinde au wasishinde lengo lao ni moja tu "kuhakikisha CHADEMA sio tishio tena kwa CCM kwa gharama yeyote".

  Ni lazima CHADEMA wakubali luwa ili kuleta mabadiliko ya kweli ni lazima kuwaandaa wanachama wao muda mrefu kuongoza sio chama tu bali dola pia. Sio mtu anakurupushwa huko akiwa anahema, anawatupia kadi ya CCM wakati hamkumpa nyie, na kumkabidhi kadi ya chama bila kujua hata sera ya CHADEMA inasema je. Kisha kesho yake mna barua inayoonesha kuwa ndie mgombea wa CHADEMA. This is nonsense kwa chama makini na chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kweli.

  Sikatai kuhusu uzalendo wa baadhi ya waliohamia CHADEMA, na wala sitathubutu kuuhoji, ila ninahoji ukosefu wa subira. Mambo mazuri huivishwa na muda. Naogopa pale CHADEMA itakapogeuka ccmb, kama ambavyo TLP ya Mrema imegeuka.

  Kwa ushauri wangu CHADEMA wawekeze zaidi kwenye wanachama vijana, wawape mafunzo ya Uzalendo, Uadilifu, Ubunifu na hali ya kuthubutu. Iatchukua muda mrefu lakini itakuwa na matokeo ya kudumu na ya muda mrefu yenye kukijenga chama na Taifa kwa ujumla.

  I love my country & i respect patriotism & intergrity.
   
Loading...