Kizazi kipya kisichochakachuliwa kupiga kura mara ya kwanza mwaka huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kizazi kipya kisichochakachuliwa kupiga kura mara ya kwanza mwaka huu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kabewa, Aug 19, 2010.

 1. Kabewa

  Kabewa Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Oct 30, 2009
  Messages: 98
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 15
  Kwa Mara ya kwanza kizazi kipya cha mabadiliko kitaanza kupiga kura au kushiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.Kizazi hiki ambacho hakijachakachuliwa ni wale vijana ambao walizaliwa kuanzia mwaka 1992 ambao ndio mwaka zilipoanza siasa za vyama vingi. kwa wale walio zaliwa mwaka 1992 mwaka huu watatimiza miaka 18 ambapo kwa mujibu wa sheria wana haki kushiriki eidha kuchagua au kuchaguliwa kwa mara ya kwanza katika chaguzi mbalimbali za nchi hii.
  Ni mategemeo yangu kuwa kizazi hiki ambacho hakikuwembo enzi za chama kimoja kitakuwa na changamoto yaaina yako kwa kuwa na uhuru mpana wa kuchagua kwani hiki ni kizazi safi ambacho hakijachafuliwa na zile fikra za kukitukuza chama cha mapinduzi ambacho kilikuwepo muda mrefu kabla ya siasa za vyama vingi.
   
Loading...