Lukuvi Isimani na Deo Filikunjombe ludewa wapita ubunge bila Kupingwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lukuvi Isimani na Deo Filikunjombe ludewa wapita ubunge bila Kupingwa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sir Leem, Aug 19, 2010.

 1. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam William Lukuvi amepita bila kupingwa kwa tiketi ya CCM na kata tisa zilizopo jimbo la isimani wagombea wa CCM wapita bila Kupingwa

  Jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe wa ccm amepita bila kupingwa
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwa hiyo?
   
 3. S

  Sir Leem JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 564
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ni Taarifa !CCM wameshachukua majimbo mawili !
   
 4. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani uchaguzi mkuu tayari? Au unamaanisha ndio wagombea pekee huko waliko? Mbona sielewi hapa?!!
   
 5. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,529
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kwani muda wa mwisho wa uteuzi umeisha?
   
 6. Peasant

  Peasant JF-Expert Member

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 3,949
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ina wapinzani hawakuwa na wagombea huko au?
   
Loading...