Ubalozi na familia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ubalozi na familia

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwenyeuchungu, Aug 18, 2010.

 1. M

  Mwenyeuchungu New Member

  #1
  Aug 18, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tanzania kama zilivyonchi zingine, imekuwa ikiwakilishwa na mabalozi nchi za nje. Wote tumeshuhudia mabalozi wakiteuliwa, vijana kwa wazee, waliopitisha umri wa kustaafu na walio na damu changa. Kwa kawaida, serekali ndiyo inayogharaia maisha ya wateule hawa huko ughaibuni wakipewa haki zao kama vile maafisa wengine wa serekali walioko nyumbani. Swali la msingi ambalo nimekuwa najiuliza ni je, katika huduma wanazopaswa kupewa hawa mabalozi je, na wanafamilia wote wanapewa the same? Mfano, gari za ubalozi zinamamlaka ya kumhudumia balozi, na mme/mke wake, watoto nk? Hebu nisaidie wanaJF.
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135


  ndo mana ake mkuu maana hata passport zao ni diplomatic sikumbuki rangi yake kwa wanafamilia wote na hata wanalipwa fweza za kujikimu after 18 years...hiyo si kwa tz tu nadhani maana nimeshuhudia dogo akila mshiko every month nchi yake xyz
   
Loading...