King of Kings Na Ziara Mjengoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

King of Kings Na Ziara Mjengoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kachanchabuseta, Aug 19, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  SOte wanajamvi ndo Tutajenga Taifa Letu. Watu kupoteza CCM ya Janja ni hii. Tumain, malaria Sugu Na Jeykey akina na kujibizana wa muda wanapoteza Taifa wa Mstakabali kwa Hoja kutoa wanajamvi ya badala. Hawaguswi mana ndo Jamvi waongoza ndo watu hawa kwamba wamelalamika wengi Wanajamvi. Kabisakufutwa hama waonywe either watu hawa kuhusu wamelalamika WanaJF. Karanga, jeykey an Malaria Sugu na zinazoletwa msingi hazina hazina ambazo Hoja kuhusu wanalalamika wanaJamvi. Taifa wa mstakabali kuhusu yetu maoni kutoa tumekuja Hapa. Mjengoni juu wa uongozi za ziara ya sababu kwa ni sijui linachafuliwa Jamvi. Juu wa Wetu viongozi wa utendaji na wasiwasi na nimekuwa WanaJF

  Tujenge Taifa letu Kwa kuleta Hoja Za Msingi
   
 2. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280

  umeandika maneno mazito kwa usanii wa hali ya juu, na kimsingi umewaonya MS na wenzake kwa kuleta hoja mbovumbovu zisizo na mashiko ila hawafutwi hapa Jamvini any way mi binafsi nimekusoma.
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hawa watu wanaitaji kuonywa
   
 4. PhD

  PhD JF-Expert Member

  #4
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 3,819
  Likes Received: 818
  Trophy Points: 280
  tunakufahamu ulichobadili ni jina tu, endelea no body cares neither considering your non sense ideas.
   
 5. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #5
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Kwa lipi ?
   
 6. P

  Paul S.S Verified User

  #6
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  jamani hatuwezi kufanana mawazo. tukubali tu chalenji
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Aug 19, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nilipoanza kusoma posts za Malaria Sugu na wengine wanao post kama yeye, nilishangaa kuwa je hawa watu hawaoni kweli hali ya nchi yetu na kule tunakoelekea? Je hawa watu wanaishi dunia ya wapi? Baadae nikatambua kuwa hawa wana lao jambo...wametumwa kuchanganya na kuvuruga mawazo ya jamii. Hata hivyo nimebaini kuwa hoja zao hazina ushawishi wala uzito wowote. Zimekuwa kama sahani ya santuri inayojirudia rudia. Hapo ndipo nikabaini udhaifu wao. Huwezi kukataa hoja kwamba nyumba yetu imejaa vinyesi, basi tuisafishe. Atakayekuja na kupinga hoja hiyo, ana walakini au ana lake jambo. Wale wanaokubaliana kuwa tusafushe nyumba yetu tuachane na vinyesi na harufu mbaya, tuwatose hawa ambao wanapinga kufanya hivyo. Hoja zao kila siku zinafichua udhaifu wa kile wanachokitetea na kuongezea nguvu wanaopenda mabadiliko. Acheni waandike tu.
   
 8. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #8
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Hawa watu ni wadini ni "extremists" hatuna haja ya kubishana nao!! Tuwapotezee tu.
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mkuu hawa hawana challenge yoyote wanaubiri mambo ya kanzu na kikwete
   
 10. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #10
  Aug 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Habari yako Shemeji!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,043
  Likes Received: 24,033
  Trophy Points: 280
  Anzia nyuma kama kiarabu vile......!!
   
 12. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #12
  Aug 19, 2010
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ni kuachana nao..waache waendelee kuona kila kitu kwao ni safi...
   
 13. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #13
  Aug 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hiki ni Kiarabu!

  Bismillahi Tawfiq
   
 14. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #14
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ....braza Kibus how have u been? tumekumiss sana kule kwetu kwa wanene......!:welcome:
   
 15. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #15
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Hao ndio wanamiliki JF sasa hivi.

  Kumbuka kuwa viongozi wa JF walikwenda bungeni hivi karibuni. Moja ya mashariti waliyopewa ni kuhakikisha kuwa hii nchi inagawanywa kwa misingi ya kidini ili kuhakikisha kuwa Kikwete anarudi ikulu kukamilisha kazi ya kuislimisha Tanzania.
   
 16. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #16
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ndiyo mzee. Daima tutaisifu tu chadema, ndiyo mzee, atakaekuja na wazo mbadala atachambuliwa mpaka akome, ndiyo mzee. Kwa mtaji huu hata mimi naunga mkono kuwa wengi humu ni mavuvuzela ya chadema tu na wala si wanamageuzi kama wanavyojinasbisha.

  Ikulu wanaenda wasafi tu (na si wale wenye hila na hiden ajenda kwa maslahi binafsi) Nasikitika kuwa mtu muhimu bungeni slaa hatakuwepo kwenye siasa hasa bugeni kwa miaka 5 kama ilivyokuwa kwa mbowe. Inauma.
   
 17. V

  Vuvu-Zela Member

  #17
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  unanikosea heshima babu we kha
   
 18. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #18
  Aug 19, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  hiden ajenda ya kusilimisha Tanzania? mmejulikana wajahidina na hasira zote hizi ni kwa sababu mipango yenu imeshindwa.

  Who's lol now
   
 19. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #19
  Aug 19, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Mkuu Hii kitu umeiandika kwa tafsida zaidi. Naona imekaa kama mashairi ya fulani vile..
  Najaribu kwenda mbele na kurejea lakini nashindwa kuipata uzuri..
   
 20. Makanyaga

  Makanyaga JF-Expert Member

  #20
  Aug 19, 2010
  Joined: Sep 28, 2007
  Messages: 2,502
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  dr slaa for presidency
   
Loading...