Ccm imetwaa mamlaka ya uhamiaji? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm imetwaa mamlaka ya uhamiaji?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtotowamwisho, Aug 19, 2010.

 1. M

  Mtotowamwisho New Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Issue ya bashe na uraia wa Somalia iliyoibuka kutokana na mizengwe ya kamati kuu ya CCM, imenisukuma niandike hii hoja ili tuijadili kwa kina

  Mara kadhaa makamba amekuwa akitetea hoja kuwa yeye si raia licha ya kutoa documents za kusapoti uraia wake

  Kinachonishangaza ni kwanini makamba aukane uraia wa bashe, ili hali yeye si mwenye dhamana ya kuthibitishga uraia wa mtu kwenye hii nchi, anaenda mbali kwa kumtetea yule chaguo lao kuwa ni Mtanzania licha ya organ za serikali kufanyia kazi suala hilo, kwa madai yeye ni raia wa Rwanda.

  Hivi makamba anafahamu kuwa Tanzania sio CCM? kwanini asivae busara za kusubiri wenye dhamana kututhibitishia hilo

  sijui wewe mwenzangu una mtazamo gani juu ya hoja za CCM, makamba na uporaji wa kazi za serikali
   
Loading...