Godfrey Dilunga
.
Swali: Una ujuzi wa lugha ngapi?
Dk. Slaa: Nimesoma na najua lugha ambazo ilibidi lazima uzijue ili ufanye mitihani. Kwa hiyo najua vizuri Lugha ya Kiitaliano...
Habari zilizonifikia toka jimbo la Bukoba mjini zinasema mgombea Udiwani kwa tiketi ya chama cha CUF kata ya Hamugembe aliyejulikana kwa jina moja kama "Kenyanya" na ambaye amekuwa katika kiti...
In a simple explanation, this a Candidate vying for a top political post, but he is being under total control of a syndicate which set goals to manipulate him for its own benefit thereafter...It...
Waungwana,
Mpaka sasa, Jimbo la Uchaguzi la Kawe lina wagombea wafuatao wa Ubunge, ambao ndio wanaosikika.
Angela Kizigha (CCM)
Halima Mdee (CHADEMA)
James Mbatia (NCCR-Mageuzi)...
Jamani Hivi kuchana vipeperushi vya mgombea mwenzako si ni kitendo cha uchokozi na uvunjifu wa sheria?
Kama ilivyokutwa mjini Bukoba mgombea wa chama cha mapinduzi amekuwa akichana vipeperushi...
Mgombea udiwani wa kata ya Endasaki,Wilayani Hanang,Mohamed Tandu amehama chama chake na kuhamia CCM. Jambo hilo linamfanya mgombea wa CCM kupita bila kupingwa.
Source...
Wapenda wenzangu wana wa ukweli na uwazi, serikali kutenga bil 20.3 kwa jali ya anasa wakati wanafunzi wa shule za serikali bado wanakaa kwenye mawe na wengine chini ya mwembe au chini ya tembe...
Habari nilizoona kwenye Taarifa ya habari ni kwamba eti kuna mwandishi wa habari ambaye amepigwa na Wafuasi wa CCM kule Kwimba wakati wa kampeni zao. Nani labda ana habari zaidi?
Mara kwa mara tunapoongelea kujiimarisha kwa vyama vya upinzani tunakuwa tunaongelea ni namna gani vyama hivyo vimesambaza matawi na mashina yake kwa wananchi, mijini na vijijini. Jambo moja...
:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:
Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu...
Nashindwa kuelewa ni kwa nini TBC1 wakiwa wanatangaza habari za kampeni za wagomea , wakiwa wanatangaza kampeni za CCM matangazo yanakuwa clear na yanasikika vizuri, lakini ikishafika zamu ya...
Hivi mama salma kikwete , mke wa Rais Jakaya Kikwete ,Rihwan Kikwete Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ni sehemu ya uongozi wa taifa letu? kama jibu ni ndiyo ni ibara gani ya katiba ya jamhuri ya...
KWA HESABU za haraka haraka tuseme kila mchezo wa bahati nasibu iwe Jivulie au Mkopo au Mwanakuliwa au Mjingahajui na kadhalika inayoendesha na makampuni ya simu za mkononi kwenye televisheni...
My take: huyu jamaa atakua anajua siri fulani, wenyewe waka-Mkolimba.
By Edwin Agola
14th September 2010
A bodyguard of the Chief Justice Augustino Ramadhani, Mzee Mnyeti (32) was...
Kuna baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wamesambazwa katika baadhi ya vyuo wanaitwa mama salma eti waadhilika wanalipiwa ada na salma kikwete nimeuliza nikaambiwa ni kweli sasa naomba...
Wadau naona Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana....
Nauli zimepanda vibaya mno by the so called kupanda kwa mafuta, Hapo hawajasema vipuri....na takataka zake zingine. Kikubwa ni kuwa Kupanda...
Kwa waliokuwa wanatizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku leo TBC1 bila shaka mmeyaona.
Ndugu yangu Richard Ndassa alikikoroga, na mie sijapata kitu kabisa.
Kanuni na sheria zasemaje...
Baadhi ya watumishi wa Serikali wamekuwa wakilalamika kwamba wamepoteza muda mwingi kufanya mazoezi ya kujitayarisha na mashindano ya kila mwaka ya Wizara na Idara za Serikali - SHIMIWI lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.