Hivi ni kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi ni kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Safre, Sep 15, 2010.

 1. S

  Safre JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kuna baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wamesambazwa katika baadhi ya vyuo wanaitwa mama salma eti waadhilika wanalipiwa ada na salma kikwete nimeuliza nikaambiwa ni kweli sasa naomba udhibitisho nawasilisha
   
 2. P

  PapoKwaPapo JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 380
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wee hujui tu hilo.....
   
 3. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Kasha umia huyo msaaidieni, yeye anavuta tu mkono anaona kapata mdondo kumbe wapi!! Pole ndugu yetu,

  KULA VIZURI,
  LALA VIZURI
  UENDELEE KUWA HAI
  SIKU UKIFA
  TUITWE JUJE TULE, TUKUSAHAU.
   
 4. N

  Njimba Nsalilwe JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 23, 2008
  Messages: 251
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hata mimi silijui kama unajua tafadhari tuelimishe!
   
 5. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 472
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45

  Jamani, sikujua kuwa humu kwenye jamvi kuna watu wanaoweza kuthubutu kuandika maneno haya. Tunaonekana wasomi, wenye uelewa mzuri na uwezo wa kuirekebisha jamii. Kama mawazo ya wengine ni haya, basi ipo kazi
   
 6. I

  IshaLubuva JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Dec 4, 2008
  Messages: 248
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Unamaanisha nini kwenye nyekundu?
   
Loading...