Richard Ndassa Atumia Lugha ya Kisukuma Kufanya Kampeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Richard Ndassa Atumia Lugha ya Kisukuma Kufanya Kampeni

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tartoo, Sep 15, 2010.

 1. tartoo

  tartoo Senior Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2010
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa waliokuwa wanatizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku leo TBC1 bila shaka mmeyaona.

  Ndugu yangu Richard Ndassa alikikoroga, na mie sijapata kitu kabisa.

  Kanuni na sheria zasemaje kuhusu hilo.

  Wanasheria mtujuze
   
 2. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Katamka jambo gani?
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Jamani zile mbesa mjengoni zinawatia watu uchizi
   
 4. Mungo Park

  Mungo Park JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 80
  Kama sikosei maadili ya uchaguzi mkuu yanavitaka vyama vya siasa kutumia lugha ya kiswahili katika kampeni na
  kutumia wakalimani kutafsiri pale jamii husika inapokuwa haiielewi lugha ya kiswahili. Adhabu kwa kukiuka
  yaweza kuwa faini au kubatilishwa kwa mgombea pale anapoendelea kukaidi.
   
 5. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ndasa yupo jimbo la Sumve wilaya ya kwimba, mkoani mwanza, yaani huyo jamaa hafai kabisa na upinzani huwa hawaweki mtuu wa maana kule sijui kwa nini hilo jimbo ni la bure kwa upinzani.
   
 6. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mod;
  Mwanzisha thread alitaka ku-draw an unnecessary attention kwa wana jukwaa kwa sababu anajua kuwa ni udaku, hivyo alidhani watu wata-ignore kuisoma.

  Kwako totoz;
  Mzee una bifu naye nini? Huko usukumani hata wachagga wapo kibao lakini wanaongea kisukuma utadhani ni wasukuma. Unless mtu anabisha, lakini the fact ni kwamba mgeni yeyote akishafika usukumani baada ya wiki moja anaongea kisukuma angalau to 60% accuracy. Hivyo, usukumani hakuna mtu mwenye haki ya kupiga kura huko, lakini hajui kisukuma. Huyo siyo mgombea uraisi kwamba ameongea kisukuma akiwa tarime, au kyela. Waacheni watu watambe kwenye maeneo yao ya kujidai, na pia siasa zetu zilenge zaidi katika kuwaangalia watu na siyo chama chao. Zitto hata akihamia UDP leo, Kigoma Kaskazini lazima wampe kura, wanamwangalia yeye sana, na si chama alichonancho! Usiwe unachukia watu halafu unatoa hoja ambayo haina upeo!
   
Loading...