Elections 2010 Wafuasi wa CCM wadaiwa kumpiga mwandishi wa Mwananchi

Profesy

JF-Expert Member
Jun 24, 2009
385
13
Habari nilizoona kwenye Taarifa ya habari ni kwamba eti kuna mwandishi wa habari ambaye amepigwa na Wafuasi wa CCM kule Kwimba wakati wa kampeni zao. Nani labda ana habari zaidi?
 
Aibu inazidi kwa ccm................mafisadi wamelowa na wamekosa mwelekeo wanachofanay ni kutuvuruga watz..............mafisadi weneyewe sio watz wa kuzaliwa hivyo hawana uchungu na nchi hii wanataka tupigane wafurahi na wazidi kuchota mabiliono mengine......watu km kina rostamu ni sumu kali serikalini kwanoi wameiweka serikali na kikwete mfukoni na wameendelea kuwanunua akina tido mhando na marine hassani siamini km tukiendelea kuwaangalia hawa mbwa wakifanya haya ya kutufitinisha tutapona ...........tuseme hapana..
 
Nadhani sasa wameanza kutekeleza kauli ya Kibweka wao Mwehu Yusufu Makamba ambaye mpaka leo anaota et Ushindi kwa CCM ni lazima! Sijui huyo mzee naye ubongo wake unaoperate kweli vizuri,nahisi atakua na matatizo aliyoyapata kipindi yupo Jeshin!
Sasa wameanza kupitisha Bakola kwa wanyonge watetezi na wawakilishi wetu wanaotuletea habari juu ya uozo wa ccm!.
Si ajabu Makamba akatoa kauli kuwa ni Marufuku kwa Mwandishi wa habari kushiriki kampeni za CCM!Mtasikia akisema-
"Ni marufuku kwa Mwandishi wa habari yeyote kufuata msafara wa Mgombea wao Jk"unless awe ameruhusiwa na CCM.
Wana CCM mfungeni Makamba kamba mdomon anawaibisha,kauli zake na maamuzi yake yamewaponza mpaka mnazomewa kama watoto!.Ama kweli Mfa maji hakosi kutapatapa!Na hasira za mkizi furaha kwa Kunguru!.Kwani sisi tunaendelea kupeta...:plane::car::flypig:
Poleni ndugu zangu waandishi kwa adha Mnayoipata,ila msikate tamaa Mungu atawatia nguvu!
PEOPLE'S........................!!!!!!!!!!!!!POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:cheer2::cheer2::yell::high5:
 
is this true? Niambieni CCM inavuruga amani aliyotuachia baba wa taifa? inataka kumwaga damu kwa manufaa ya nani? watanzania tuwe macho
 
Mgombea wa CCM jimbo la Kwimba ni SHARIF MANSOOR
Ambaye ni;
1. Mweka Hazina wa CCM mkoa wa Mwanza
2. Mmiliki wa vituo vya Mafuta kikiwemo kilichovunjwa na Magufuli barabara ya Makongoro kisha Serikali ikaamriwa kulipa mabilioni ya fidia
3.Ndio mfadhili mkuu wa ziara za viongozi wa kitaifa/CCM kwa kuchangia gharama za Chakula na mengineyo kutoka mfukoni mwake
4. Ni M burushi
5.
6.
7.
 
CCM ndo wameanza kupiga risasi ya kwanza.
Naweka kwenye record hii maaqna wanatupeleka rwanda hawa sasa
 
is this true? Niambieni CCM inavuruga amani aliyotuachia baba wa taifa? inataka kumwaga damu kwa manufaa ya nani? watanzania tuwe macho
 
Mgombea wa CCM jimbo la Kwimba ni SHARIF MANSOOR
Ambaye ni;
1. Mweka Hazina wa CCM mkoa wa Mwanza
2. Mmiliki wa vituo vya Mafuta kikiwemo kilichovunjwa na Magufuli barabara ya Makongoro kisha Serikali ikaamriwa kulipa mabilioni ya fidia
3.Ndio mfadhili mkuu wa ziara za viongozi wa kitaifa/CCM kwa kuchangia gharama za Chakula na mengineyo kutoka mfukoni mwake
4. Ni M burushi
5.
6.
7.

Vipi nafasi ya chadema hapo ngudu
 
ni jimbo la sumve na sio jimbo la kwimba alikopigwa mwandish huyu

jimbo lasumve anagombea richard ndasa!1
 
Nadhani sasa wameanza kutekeleza kauli ya Kibweka wao Mwehu Yusufu Makamba ambaye mpaka leo anaota et Ushindi kwa CCM ni lazima! Sijui huyo mzee naye ubongo wake unaoperate kweli vizuri,nahisi atakua na matatizo aliyoyapata kipindi yupo Jeshin!
Sasa wameanza kupitisha Bakola kwa wanyonge watetezi na wawakilishi wetu wanaotuletea habari juu ya uozo wa ccm!.
Si ajabu Makamba akatoa kauli kuwa ni Marufuku kwa Mwandishi wa habari kushiriki kampeni za CCM!Mtasikia akisema-
"Ni marufuku kwa Mwandishi wa habari yeyote kufuata msafara wa Mgombea wao Jk"unless awe ameruhusiwa na CCM.
Wana CCM mfungeni Makamba kamba mdomon anawaibisha,kauli zake na maamuzi yake yamewaponza mpaka mnazomewa kama watoto!.Ama kweli Mfa maji hakosi kutapatapa!Na hasira za mkizi furaha kwa Kunguru!.Kwani sisi tunaendelea kupeta...:plane::car::flypig:
Poleni ndugu zangu waandishi kwa adha Mnayoipata,ila msikate tamaa Mungu atawatia nguvu!
PEOPLE'S........................!!!!!!!!!!!!!POWER!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:cheer2::cheer2::yell::high5:
Makamba ni baba wa mtu kwa hio sitamuita majina kwa sasa. Lakini kwa kweli kuropoka ropoka itamcost. Alafu jamaa eti ataki watu waende kwenye debates? Yani hapo ndio amewanyima wanachama demokrasia nakuonyesha kwamba wana - CCM wana something to hide (maybe ignorance or failure to respond) atuwezi jua. Na walisema Slaa political suicide, kukwepa mdahalo ndio political suicide nakwambia.
:high5: <------People's!!!

Alafu kuna waandishi wengine eti wanaweza kumfuata rais only kama wana tshirt za "PRESS KIKWETE 2010"
 
Nimeona kwenye taarifa ya tbc. Ni yule mwandishi wa mwananchi. Kapigwa kwa amri ya walinzi wa sisi m. Na nimeona aliyetoa amri kwamba mwandishi huyo wa gazeti la mwananchi apigwe kawekwa ndani akisubiri kufunguliwa mashitaka.
 
Alafu ulimuona kiherehere wa CCM Dar aliingia kampeni za CHADEMA kitdogo afumuliwe na wafuasi. Wanatafutaga watu hawa.
 
Watapewa ubunge na ubalozi hao!! Don't joke with JK!!
LoyalTzCitizen
  • profile.png
    View Profile
  • forum.png
    View Forum Posts
  • article.png
    View Articles
  • add.png
    Add as Contact
user-online.png
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
Join Date Wed Sep 2010Posts 7 Thanks : 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Rep Power 0
Cheki details za huyu Jamaa? Ametumwa nini? :mad2: Unaweza ukawa right lakini, ubalozi hapo kwa kuwa wamempiga mtu.
 
Poleni sana gazeti la Mwananchi. Endelezeni " Uadilifu na Weledi " ijapokuwa una gharama zake. Keep it up ...
 
Alafu ulimuona kiherehere wa CCM Dar aliingia kampeni za CHADEMA kitdogo afumuliwe na wafuasi. Wanatafutaga watu hawa.
Hapana ilikuwa ni Iringa pale kwenye stand ya mabasi ya Ipogolo. Sisi m kwa kukos sera sasa wana kiwewe na wanatafuta kuleta uvunjifu wa amani kila mahali katika nchi hii.
Ana bahati maana walitaka kuchomoa ndani ya kigari chake kama sio polisi kumsaidia.
 
Back
Top Bottom