Lipumba: Mheshimiwa Kikwete Hawezi Taabu!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lipumba: Mheshimiwa Kikwete Hawezi Taabu!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by minda, Sep 15, 2010.

 1. minda

  minda JF-Expert Member

  #1
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  :eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema:


  “Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu [taabu] kabisa na ndiyo maana mambo magumu yanayohitaji kujitolea hayawezi, mimi serikali yangu kama itamfikiria basi itampa wizara ya Utamaduni na Michezo.”
  Source: Majira – 14 september, 2010.
  Prof. Lipumba you can't be serious!!! Kwamba Wizara tajwa ni mteremko tu? Wakuu mnasemaje?
   
 2. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #2
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,468
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  mmmh waziri wa michezo
   
 3. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #3
  Sep 15, 2010
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,493
  Likes Received: 2,738
  Trophy Points: 280

  Mimi nafikiri hiki kizazi cha magraduate wa miaka 70 and 80 mpaka kitoke ndipo tutaanza kupata matumaini ya maendeleo TZ. Nafikiri kuna kitu walilishwa pale mlimani!!
   
 4. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #4
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wrong!!!!

  Hivi Nchimbi ni wa lini? na magufuli ni wa lini?
   
 5. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #5
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kauli ya mwezi!!!
   
 6. Naloli

  Naloli JF-Expert Member

  #6
  Sep 15, 2010
  Joined: Aug 26, 2010
  Messages: 416
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama umeliona hilo la magradutes wa yrs 70 and 80 UD (UVCCM member) kuwa ni tatizo kwa ustawi wa nchi hii macho yako yameuona ukweli sasa. kwanza hawa jamaa wamebebwa sana, wamesomeshwa bure toka msingi hadi chuo, hadi mikate na tsh 50 za matumizi njiani wakati wa kwenda likizo walikuwa wanaipiwa na serikali ya mwalimu.Kumbe mwalimu hakujua, yeye anawafundisha somo la uzalendo na kuwapa exposure za kwenda nje ya nchi wao wanatamani kila kizuri kiwe chao wao tu. Na walianza kutengeneza mtandao wao toka wapo chuo, wana mtandao wengine wamedandia basi kwa mbele. Na wale waliosoma nao na kuwajua hawa jamaa sio wote wametoswa mfano Jenerali ulimwengu,Maalimu Seif, Marehemu Kolimba, Lipumba nk waulize hawa jamaa watakuambia jamaa walikuwa vilaza tu tena mkubwa mmoja ana PASS ya BA. ECO. Hivyo hawa hawana maajabu yoyote watakayo leta kwa taifa hili zaidi ya maangamizi tu. ila jamaa ni mabingwa wa kuongea pia ni wanafiki wanajifanya ni masikini kama sisi kumbe wanamiliki mahoteli ya kitalii Bagamoyo na Ngorongoro na sehemu nyingine. Usoni ni wapole na waungwana na wanaonekana wanajalishida za wananchi ukiwaambia wazitatue ni wazito balaa. ukiwaambia wasughuliie mafisadi wanarukaruka tu maana jamaa zao wengi ndio mafisadi na ndio wanaosimamia biashara zao. kama wakirudi madarakani kweli mama Tanzania umekwisha
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  Sep 15, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,010
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  HAPO NDIPO UTAJUA MCHAPAKAZI NA MSANII.

  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG][​IMG][​IMG][​IMG][​IMG]


  TUMIA KURA YAKO KUSAIDIA KUPATA VIONGOZI WACHAPAKAZI NA SI WASANII
   
 8. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #8
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mama yangu! Unasema nini Mr. Zero? Hao unaowaombea watoke wako afadhali mara alfu kuliko sisi. Tatizo ni kwamba wameshatuharibu wao halafu hatujui kama tulishaharibika na sisi, na wakati huo huo tuna njaa. Nakwambia sisi ndiyo wabovu zaidi kuliko hao unaowatamani watoke!
   
 9. E=mcsquared

  E=mcsquared JF-Expert Member

  #9
  Sep 15, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 221
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hapana, Mr. Zero hajauona ukweli, amepotoka sana. Tatizo letu sisi tunajisifu wakati hata uzalendo uko kwenye midomo zaidi kuliko kwenye matendo. Mimi nawakubali tu wale ambao wako ndani ya political arena tayari kama akina Zitto Kabwe, hawa wengine tusiongee sana, twaweza kuwa tunajua kuchangia kwenye forums tu lakini tukikabidhiwa madaraka inakuwa balaa. Ebu tulitambue hilo kwanza ili kusudi siku tukija kushika madaraka, tuwe na angalau tahadhari ya kwamba "there are chances tunaweza kutokufanya kile kizuri ambacho kila siku tulikuwa tunalalama kuwa tutafanya". Itatusaidia, after all ni tahadhari tu tena siyoweza kutugharimu chochote kwa mda huu. Ahsante!
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Sep 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  Mkuchika uko wapi?.......kesi ya madai hii uvute mshiko....sasa kama hii wizara ni bomu kwa nini tusiifutilie mbali?
   
 11. minda

  minda JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135


  kumbe mamba wala watu...!!! :croc:
   
Loading...