Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Ezekiel Kamwaga - Imechapwa Ilani ya CCM inadanganya 15 September 2010 ILANI ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2010 imesheheni takwimu zinazokinzana, imegundulika. Katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nikisikia minong'ono ya chini chini ambayo sasa imeanza kupazwa sauti na wagombea wa CCM kuwa ahadi za mgombea urais wa Chadema, Dr W Slaa, ni za uongo na hazitekelezeki. Kuna watu ambao...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kwa hisani ya Tanzania Daima: Kikwete amsambaratisha Mrema • Avunja ngome yake, azoa wanachama na Tamali Vullu, Moshi MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ingelikua nimeambiwa, wala singediriki kuyasema haya, lakini kumbe ni uongo? Kwanza, JK ametamka jana kwenye kampeni mkoani Kilimanjaro kwamba Serikali imefanikiwa kuwapeleka watumishi 47 wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau tafadhali naomba nielimishwe!kwenye uchaguzi mwaka huu nimeona mengi mapya ambayo hayakuwepo miaka ya nyuma.....mfano utakuta baadhi ya viongozi wakubwa wa wilaya na mikoa wanawapokea vema...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wa CHADEMA ambao wanasubiri kuapishwa.... a)Matilda komu b)Halima Mdee C)John Mnyika d)zitto Kabwe e)Ndessa pesa f)Tindu Lissu Mwita Mwikabe Mboye........na...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tufike mahali watanzania tujifunze nakuelewa kati ya nyaraka za siri za serikali, na nyaraka za siri za uwovu wa serikali ambazo kila mtanzania anapaswa kuzijuwa na hakuna sheria inayo ilinda...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Zamani, mababu zetu kabla ya kwenda kuposa, walikuwa wanafanya uchunguzi wa binti, familia yake na tabia zake. cha msingi walikuwa wanaangalia kama kwao huko kuna matatizo ya wizi wizi ,umbeya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kama nimfatiliaji wa mambo unaweza kujua kwa undani ni nini hasa kilichofanya taifa la Zimbabwe wakati huo likiitwa 'kapu la Africa' likisambaratika na kuwafanya wanachi wake waikimbie nchi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kumekuwa na mtizamo kuwa viongozi wengi ni waadilifu. Taarifa niliyopata muda huu ni kuwa anayegombea Ubunge jimbo la Ngara ni FATAKI. Je hii inakubalika? Soma kiambatanisho (attachment) na karibu...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Dharau inayoonyeshwa na mgombea wa CCM Jakaya Kikwete kuendelea kutoa ahadi zaidi ilhali nyingi ya alizotoa mwaka 2005 hazijatimizwa,sasa imehamia kwa mkewe.Katika ukurasa wake wa Twitter...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Nimeona kwenye blog moja juu ya kahasheki kuzindua kampeini lakini kikubwa katika blog hiyo inaoneshwa uwepo wa Bw Prince Bagenda katika uzinduzi ambapo wasiwasi ni kutojua sababu za uwepo wa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kitendo cha CCM kuwakataza wagombea wake kushiriki ktk midahalo ya kisiasa ambayo inatoa fursa kwa wagombea kuongea na wananchi moja kwa moja ni kitendo cha kutokujiamini, udicteta na ukandamizaji...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ninatazama hapa taarifa ktk ITV. Makamba anasema “kwa mambo mengi aliyoyafanya JK kwa miaka hiyo mitano, tumpe ZAWADI kwa kumchagua tena” Jamani eeee, hivi kumbe tunapomchagua Rais “tunatoa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waungwana Siku ya Uchaguzi Mkuu huwa siku maalum ambapo shughuli zote za kikazi zilizo rasmi husitishwa kwa muda, ili kuwawezesha Watanzania wenye haki ya kupiga kura, na waliojiandikisha kupiga...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wafungwa wa gereza la IBUKONI, wilaya ya ROMBO tarehe 13/09/2010, walitumika kujenga jukwaa alilotumia JK jana wakati akifanya mkutano 15/09/2010, katika shule ya msingi mbomai kati, TARAKEA ...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ona, mfumo mzima wa CCM, viongozi, wapambe na mashabiki wao kila mtu anapambna na Dr. Slaa lakini hawafaulu kurudisha nyumba nia ya watanzania ya kuleta mabadiliko. Kila kukicha lakima mmoja wa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Anakumbuka marafiki na kusahau ahadi NAWEZA kudai kumfahamu Kikwete kuliko wengi wa mashabiki wake wanaohudhuria mikutano yake ya kampeni. Nimefanya naye kazi jeshini na serikalini kidogo...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kufuatilia kampeni za vyama vya siasa. Nimegundua CCM hawafanyi kampeni ilikutangaza hoja zao. Zaidi wanaandaa concert ya kusanya wanamuziki mbalimbali kwa ajili ya kuburudisha wananchi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana-JF, Wakuu Wote; Viongozi Wote; Vijana Wetu (hasa wale wa jukwaa la mapenzi na mambo ya nanihii . . .) Itifaki imezingatiwa! Amandla! Asalaam Aleykhum! Bwana Yesu Asifiwe! Haki Sawa . . ...
0 Reactions
377 Replies
26K Views
Back
Top Bottom