Elections 2010 Real situation up to this 16/09/2010 just before election

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
661 12.55%
Kikwete 4,085 77.53% Slaa 168 3.19% Lipumba 281 5.33% Rungwe 74 1.40% Mutamwega:fencing:
 
661 12.55%
Kikwete 4,085 77.53% Slaa 168 3.19% Lipumba 281 5.33% Rungwe 74 1.40% Mutamwega:fencing:

Hatudanganyikiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mwaka huuuu hata mfanyeje. Kwanza kajifunze kuandika kabla ya kuleta data zako JF, watu wameenda shule hapa!!
 
Hapa nahisi kichwani kwako ndo kuna upupu! ulichoandika ni kinyesi cha kuku
 
Hii ni nini?

Nina wasiwasi sana na Mwenyekiti wa uchaguzi atakavyopokea matokeo ya kura na kubadilisha ya ccm yaende chadema na ya chadema yaende ccm itakapodhihirisha kuwa CHADEMA inaongoza kwa mbali ikifuatiwa na ccm kama itakavykuwa hapa chini
·Jakaya Mrisho Kikwete (CCM)
661................................ 12.55%
· Willibrod Slaa (CHADEMA)
4,085 .........................77.53%
· Ibrahim Lipumba (CUF)
168 ...........................3.19%
· Hashim Rungwe (NCCR-Mageuzi)
281 ............................5.33%
· Mutamwega Mutahywa (TLP)
74.................................. 1.40%



NANI ATACHUNGA KURA KWA UAMINIFU?
NINA WASIWASI SANA HAPA.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom