Elections 2010 Mrema wa Tanroads asema JK amezuia asing'oke

Halisi

JF-Expert Member
Jan 16, 2007
2,802
613
Baada ya Serikali kutangaza nafasi ya kazi ya CEO mpya wa Tanroads, Ephraem Mrema wa Tanroads amewaambia watendaji wake kwamba tangazo la kazi la CEO mpya ni danganya toto maana ameshaonana na JK na amemwambia hiyo ni kuwazuga kina Slaa wakose la kuzungumza, baada ya election anaendelea na kazi kwa miaka mitano, na ametoa amri kwa Tanroads kuhamia jengo la Zain Centre kabla ya Okt 18 baada ya yeye kufanya uzembe kukosa mabilioni y WB kujenga HQ ya Tanroads, na juzi kazuia engineers kwenda China kusoma kwa msaada wa China Gov anasema hakuna kusoma kuna uchaguzi hadi Utumishi wameshangaa maana walishawaruhusu...huyu jamaa ni fisadi na amekua akituhumiwa "kumsingizia" Rais na CCM kuwa wanamtuma kukusanya fedha za uchaguzi na kusababisha gov hasara ya mabilioni kwa kuvunja mikataba kienyeji na kutoa tenda kwa mazingira tata, eg Bagamoyo Msata Road kwa Esteem
 
Akapimwe akili kabla hajaachika kiti chake hicho.
naona homa ya kuchunguzwa na taukuru umempanda kichwani
 
Sisi tarehe 31st Oktoba tunamfukuza kazi JK na CCM yake halafu huyu kibaraka wake ataamua kunyoa au kusuka
 
Back
Top Bottom