Wanavyuo tulionyimwa haki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanavyuo tulionyimwa haki

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by badiliko, Oct 7, 2010.

 1. b

  badiliko Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndg zangu mie bado ninatafakari habari za wa 16. Wazo langu ni kwamba huko. Tuliko tuhakikishe basi tunafanya kazi ya kufa na kupona kwa kukuwa mabalozi wazuri kwenye zoezi la kusimamia uhesabuji wa kura. Tukifanya hilijukumu vizuri tutakuwa tumefanya kazi kubwa yumkini kuliko kura moja tutakayo kuwa tumepoteza. Najua mgombea wetu mpaka sasa bado anakubalika vilivyo na bado tutaona moto siku zilizobaki! Shughuli kubwa sana sasa ninamna ya kulinda hizi kura. Kampeni tumepiga sana ila bado kuanza mbio si hoja tutakavyomaliza ndipo mchezo ulipo. Km nyerere alivyokomboa taifa hili kutoka kwa wa koloni nasi lazima tulikomboe kutoka kwa mafisadi wa ccm! Hamasisha vijana kujitokeza kusimamia na kulinda kura na fika ofc za chadema huko uliko saidia kutathmini hali na uwetayari kujitoa kusaidia organazesheni. Nawasilisha! Hatutalala mpaka kieleweke!!!!!!
   
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 418,551
  Trophy Points: 280
  Wnazuoni ni lazima mfanye juu chini mkapige kura ili ukombozi wetu sote upatikane bila zengwe
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180

  kura ni haki yetu ya msingi na mwaka huu ukombozi utapatikana
   
Loading...