CARTOON ya LEO | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CARTOON ya LEO

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kachanchabuseta, Oct 6, 2010.

 1. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #1
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. kiraia

  kiraia JF Gold Member

  #2
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 1,614
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  2005 chadema + 2010 chadema = masoud tupe vigezo ulivyoytumia
   
 3. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #3
  Oct 6, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi shabiki namba moja wa Masoud ila sijui ana maana gani hapa. Ni Chadema. Kitaeleweka tu masoud. lakini kama anafikiri wananchi wamekosa chama cha kweli nasema Tanzania inakosa tume ya uchaguzi
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,924
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  hiyo x-ray masoud itakupunguzia siku za kuishi..........
   
 5. sblandes

  sblandes JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 2,468
  Likes Received: 790
  Trophy Points: 280
  Fumbo kubwa inaonekana hiyo machine inagundua au inatambua nani zaidi. Lakini nje ya machine majibu huwa yanachakachuliwa.
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Kwa mimi nilivyomuelewa ni kuwa hii machine inatumika KUTENGENEZA KARATASI ZA KUPIGA KURA LAKINI KWA SABABU KUNA MAGUMASHI DETECTOR HIZI KARATASI ZITACHAKACHULIWA NDO MANA MATOKEO YA 2005 YALIKUWA TOFAUTI

  SOMA MWANAHALISI LEO 06/10/2010 UTAWEZA KUJUA KIVIPI HAWA WATU WANACHAKACHUA
   
 7. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 8. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 9. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 10. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #10
  Oct 6, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 11. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kwa akili ya kupambanua mambo haraka haraka naona Masoud hapa anataka kutuambia hivi: Hii MAGUMASHI DETECTER ni x-ray au microscope ya CCM (Rangi ya kijani). Kila mtu anajua kuwa kila mwana CCM husema kuwa ukimkata ngozi na wembe inatoka ''green blood''. Sasa fikiria mtu mwenye damu ya kijani anafananaje!!!Kwa hiyo rangi ya MAGUMASHI DETECTOR inajieleza yenyewe kuwa ni mtambo wa CCM!

  Kwa hiyo MAGUMASHI DETECTOR ni chombo cha CCM ambacho kazi yake ITAKUWA KUCHAKACHUA MATOKEO YOTE YA KURA ZITAKAZOPIGWA HIYO SIKU YA TRH 31/10/2010. Hii MAGUMASHI imeandaliwa maalumu kwa ajili ya kupotosha,kubadili na kufuta karatasi zote za wale watakaopiga kura za kuwanyima CCM kura.

  Lipumba aliwahi kuambulia kura sifuri (0) kwenye kituo alichopigia kura kwa maana kuwa hata yeye mwenyewe hakujipigia kura!!!!
  Maana yake ni kwamba MAGUMASHI inabadilisha na kufuta kura zozote zilizo kinyume na CCM bila kujali hata kama umejipigia mwenyewe.
  Hi MAGUMASHI ni hatari sana.

  Namshukru Kipanya kwa kututahadharisha kuwa UWIZI WA KURA LAZIMA UTAKUWEPO NA UTAFANYWA NA WANA CCM(Rangi ya kijani).

  Kinachotakiwa ni ulinzi wa uhakika ili kuzuia kura zetu wasije wakapata nafasi za kuziingiza kwenye mashine hili.
  Safari hakuna kulala mpaka kieleweke.
   
 12. J

  Jafar JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 1,138
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Kamuulize Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
   
 13. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 159,018
  Likes Received: 421,163
  Trophy Points: 280
  NEC ina majibu yote na harakati zao za kulinda maovu ya CCM kwa jamii.
   
 14. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,381
  Likes Received: 3,141
  Trophy Points: 280
  ccm wanambinu nyingi........hadi kupiga hodi nyuma ya masoud kipanya!
   
 15. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kipanya...anatafuna huku anapuliza!
   
 16. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2010
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,954
  Likes Received: 2,096
  Trophy Points: 280
  Mashine hiyo haitatoa jibu sahihi kwani ni aidha ya CCM kwa rangi yake au ya TPDF yaani imetengezwa pale Nyumbu!
   
 17. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #17
  Oct 7, 2010
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Kpanya ni pro-CCM kila mtu anafahamu.

  Mnakumbuka kile kipindi chake kupitia TBC cha Maisha Plus??? TBC ni CCM na Kipanya ni wa CCM.
  Nilikuwa najaribu kutafuta maana hasa ya neno MAGUMASHI. Kama sitakosea itakuwa ni ufupisho wa MATOKEO,ya KUGUSHI MAZURI kwa uSHINDI !!!!!!!

  CCM wameshajipanga kugushi matokeo ya Uchaguzi ili washinde kwa kishindo. Tuweni macho sana siku ya Uchaguzi.
   
Loading...