Elections 2010 CCM na Mabilioni ya Shilingi ya mavazi na usafiri!!!!!!!!!!!!!!!

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Kama CCM wameweza kukodi mabasi na maroli ya kubeba watu kwenda kwenye kampeni, kununua T-shirt na kofia kwa kila mtu mwenye muda wa kwenda kwenye kampeni zao nchi nzima kwa pesa za Umma, najiuliza maswali kadhaa:-

Nakadiria Watu wanaojitokeza kumshangaa Jk kwenye kampeni nchi nzima mpaka mwisho wa kampeni watafikia Millon15 ghalama za kuwabeba mpaka uwanjani ni Tshs1000 kila mmoja, kofia ni Tshs3000 kila mmoja na T-shirt ni Tshs8000 kila mmoja jumla ya ghalama kwa kichwa ni Tshs12,000. Jumla ya ghalama zote katika eneo hili tuu ni Tshs Bilion180.

Binafsi sijataka kukadiria matumizi mengine kama posho za makada, malipo ya wasanii, kukodi helkopta, kutoa buku mbilimbili kwa wenye viti wa vijiji.

Naomba mwenye uwezo anisaidie alafu tujue sisiem inatumia nguvu gani? kwa pesa ya nani? na watailipaje?

Angalia ghalama hapa chini.
z12.jpg
 
Halafu gharama za uchaguzi wamesema ni tsh 40 bilioni, mpaka sasa wametumia zaidi ya mara sita ya hizo, Je :A S 13: Mr Tendwa (mzee wa nyodo) ameweka pamba machoni na masikioni au kwa kupofu na kiziwi? Tume huru ya uchaguzi ndi kimbilio letu ama sivyo demokrasia na haki ya kweli wakati wa uchaguzi haita kuwepo milele Tz.
 
Fedha hizi zinatokana na misamaha ya kodi na kutunyima elimu na matibabu ya bure. Sisi tarehe 31st Oktoba tunachagua elimu an afya badala ya kofia na T-shirt maana yake tunaifuta kazi CCM na JK wake wakayavae migwanda hiyo mbele ya safari...........kwenye upinzani na siasa hizo tunajua hawazijui.........
 
mi sisemi naomba watanzania tuseme ifikapo tar 31, wote kwa pamoja tupayuke ccm basi its enough we ar tired!
 
kama ccm wameweza kukodi mabasi na maroli ya kubeba watu kwenda kwenye kampeni, kununua t-shirt na kofia kwa kila mtu mwenye muda wa kwenda kwenye kampeni zao nchi nzima kwa pesa za umma, najiuliza maswali kadhaa:-

nakadiria watu wanaojitokeza kumshangaa jk kwenye kampeni nchi nzima mpaka mwisho wa kampeni watafikia millon15 ghalama za kuwabeba mpaka uwanjani ni tshs1000 kila mmoja, kofia ni tshs3000 kila mmoja na t-shirt ni tshs8000 kila mmoja jumla ya ghalama kwa kichwa ni tshs12,000. Jumla ya ghalama zote katika eneo hili tuu ni tshs bilion180.

Binafsi sijataka kukadiria matumizi mengine kama posho za makada, malipo ya wasanii, kukodi helkopta, kutoa buku mbilimbili kwa wenye viti wa vijiji.

Naomba mwenye uwezo anisaidie alafu tujue sisiem inatumia nguvu gani? Kwa pesa ya nani? Na watailipaje?

Angalia ghalama hapa chini.
z12.jpg


wivu tuuu huo watanzania wamependeza na nguo zao bwana haaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
 
Fedha hizi zinatokana na misamaha ya kodi na kutunyima elimu na matibabu ya bure. Sisi tarehe 31st Oktoba tunachagua elimu an afya badala ya kofia na T-shirt maana yake tunaifuta kazi CCM na JK wake wakayavae migwanda hiyo mbele ya safari...........kwenye upinzani na siasa hizo tunajua hawazijui.........

Nakubaliana nawe 100 %.

Nafikiri sasa ni muda muafaka kwa Dr. Slaa kuanza kuwauliza waTZ wanataka nini? T-shirt, kofia na Khanga za bure kutoka CCM au elimu na afya bure kutoka Chadema?? Huu uwe wimbo na uwaingie waTanzania wote ndani ya hizi week 3. Kenya waliweza mpaka mzee wa miaka 70 akaenda kujiandikisha shule. Sasa kwa nini Chadema ishindwe??


Go Slaa, Go Slaa...................!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom