Mwenge uko Bukoba (Picha)

Mwenge uko Bukoba (Picha)

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,907
Reaction score
1,081
Wana jukwaa,
Leo ndio siku mwenge ulitinga katika mji wa Bukoba. Moja ya miradi iliyoibuliwa na mwenge ni jengo la kibiashara la gorofa mbili linalomilikiwa na mfanya biashara ambaye ni mwenyeji wa Kagera lakini akiishi Dar anayejulikana kama Lwabizi.
Awali mahali palipojengwa jengo hili palikuwa na jengo la kawaida ambalo lilikuwa na hotel ndani yake. Tangu Mwanzoni mwa mwaka huu mmiliki wa jengo hilo alilivunja jengo la awali na kuanza kujenga jengo hili.
Leo jengo limezinduliwa na Mwenge kama moja ya miradi ya maendeleo inayozinduliwa na Mwenge, ambapo katika tafrani hiyo barabara zinazopita jirani na jengo hilo zilifungwa kwa dakika 45. Shida ni kwamba hakukuwa na taarifa ya ujio wa hafla kubwa hii, kiasi kwamba wengi wa madreva walisikika wakilalamika kuvunjiwa ratiba zao za kazi.

IMGP9502.jpg

IMG_0020.jpg

IMG_0012.jpg

IMGP1425.jpg

IMG_0019.jpg
Hapa mgombea ubunge kwa
tiketi ya Chadema Mr Lwakatare
akitoa nasaha zake.
DSC04387.jpg

IMG_0011.jpg
Jengo likifunguliwa

IMGP1432.jpg
IMGP1433.jpg
IMGP1431.jpg
IMG_0021.jpg
Picha nne hizo juu zikionyesha
traffic jam wakati wa hafla hii
 
Hivi kumbe mwenge bado unakimbizwa Tanzania??!!!!
 
I wish ningekuwa hapo na nikaweza kuukojolea ukazimika
 
Lo! Mwenge siku hizi unatumika kuzindua nyumba binafsi?
 
Sasa hii nyumba ni mradi wa serikali au? Nilishasahau kwamba mwenge upo bado. Na mbona hatupewi taarifa za maendeleo ya hii miradi inayozinduliwa kila mara? Nahisi mingi hufa!
 
Unasubiri kutiwa ndani ya jumba la makumbusho!!!
 
Wamekosa miradi ya serikali ndio maana wameanza kukimbilia mambo ya watu binafsi!!! Si pale Bukoba Mh. Kagasheki anajinadi kuanzisha miradi ya maendeleo ya jimbo. Kwa nini mwenge usiende huko na kubust kampeni zake. Hivi CHADEMA wanaunga Mkono Mwenge? Ni kiherehere gani kimempeleka Rwakasimba Pale?
 
Sasa hii nyumba ni mradi wa serikali au? Nilishasahau kwamba mwenge upo bado. Na mbona hatupewi taarifa za maendeleo ya hii miradi inayozinduliwa kila mara? Nahisi mingi hufa!

Hivi Mwenge ( Namaanisha kale kamoto) Kanazinduaje au Kanafunguaje Miradi? Ina maana mwenge usipowashwa Miradi Haizinduki/Haifunguki?
 
Wamekosa miradi ya serikali ndio maana wameanza kukimbilia mambo ya watu binafsi!!! Si pale Bukoba Mh. Kagasheki anajinadi kuanzisha miradi ya maendeleo ya jimbo. Kwa nini mwenge usiende huko na kubust kampeni zake. Hivi CHADEMA wanaunga Mkono Mwenge? Ni kiherehere gani kimempeleka Rwakasimba Pale?
Si kiherehere kilichompeleka pale Lwakatare, bali ni kwamba jengo lililokuwa likizinduliwa liko jirani kabisa na ofisi za Chadema. Nadhani walimtafuta aokoe jahazi maana nasikia mkuu wa wilaya hakuwa anapokea respond ya wananchi kila aliposema "Mwenge oyeeee". Bila shaka walimfuata ofisini kwake kwa sababu ni next house, kuokoa jahazi maana aliposema " Chadema", ghafla hali ilibadilika.
 
Wamekosa miradi ya serikali ndio maana wameanza kukimbilia mambo ya watu binafsi!!! Si pale Bukoba Mh. Kagasheki anajinadi kuanzisha miradi ya maendeleo ya jimbo. Kwa nini mwenge usiende huko na kubust kampeni zake. Hivi CHADEMA wanaunga Mkono Mwenge? Ni kiherehere gani kimempeleka Rwakasimba Pale?
Kenge hii ndio hali ya kukwama. Kagasheki huyo hajafanya lolote sasa anadandia nyumba walizojenga watu binafsi na kuzifanya ni miradi ya kuibuliwa na mwenge.

Kama kuna ujinga umetutawala watanzania ndio huu. Yaani pesa na resources zinazotumika kwenye this rubbish ni nyingi sana na zingeweza kuleta maendeleo yenyewe. Lakini badala yake pesa hizo kutumika kuleta maendeleo sasa zinatumika kuzungusha huu moto nchi nzima. Wameanza kufika mahali ambapo wamejikuta hakuna hiyo miradi na kwa hiyo wakikukuta umejenga nyumba yako wanazindua hahahahahahaha Mie nchi hii imenichosha sana! Naona hata kwenye picha watu wanaonyesha kushangaa nini serikali ya Kikwete inafanya sasa. Ebu waangalie tu utaona!
 
Nani anakimbiza Mwenge Mwakani? Nataka Aje Azindue Nyumba yangu ha ha haaa
 
Hii ni moja ya mazingaumbwe tulioachiwa na aliyetuloga TZ keshakufa !!!

Siku huu moto ukizimwa forever( no mwenge anymore), will be one of may happiest day in my life if found me alive !!!!!
 
hili dude linatisha, na halina mvuto

hawawezi kulimodify ? halafu huu mwenge ni wa uhuru wa tanganyika ? ni wa muungano?

kama ni wa tanganyika kwa nn unaletwa kule zanzibar?

kwa nn usiishie mrima?
 
Jengo hilo lina uhusiano gani na mbio za Mwenge? Je, ni la CCM maana utepe unaokatwa una rangi za CCM? Je Mwenge ni wa CCM ama wa Taifa?
 
Jengo hilo lina uhusiano gani na mbio za Mwenge? Je, ni la CCM maana utepe unaokatwa una rangi za CCM? Je Mwenge ni wa CCM ama wa Taifa?
Ukiona hivi ujue mmiliki ana sababu!!!!!!!!!!!!! Fuatilia kwa chini utajua. Kwani nini hamkushangaa gari la wizi Mwanza kukutwa na stickers za Masha?
 
Hongera sana Salvatory Rwabizi, tulikuwa wote Kibaha 1975-76. A truly Tanzanian entrepreneur anayewekeza nchini badala ya wale wanao lialia kutwa
 
JIKUMBUSHENI WIMBO HUU

mwenge huo mwenge mbio mbio.
mwenge tunaukimbiza ...mbio mbio....
mpaka makao makuu...mbio mbio............:tonguez::
 
Back
Top Bottom