Ni kigumu chama cha mapinduzi, ni ngumu fikra za mwenyekiti kwa sababu hizi hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni kigumu chama cha mapinduzi, ni ngumu fikra za mwenyekiti kwa sababu hizi hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtaka Haki, Oct 7, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kigumu chama cha mapinduzi kushinda mwaka huu! VIGUMU!

  Kwa jinsi walivyokataa kuwawajibisha mafisadi na hata kuwakumbatia!

  NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI! NI NGUMU Kudhania kuwa familia itamrudisha tena Ikulu na kuwadharau wazee. Labda wanangoja wajitokeze pale mwishoni?

  Wameigeuza siasa ya Ujamaa na Kujitegemea iliyoko kwenye katiba kuwa SIASA YA UNYAMA NA KUJITEGEA NA KUJIMEGEA.

  NI KIGUMU CHAMA HIKI KUSHINDA LABDA KAMA WATU HAWATATUMIA AKILI ZA KAWAIDA.

  NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI KUSEMA ANAPINGA RUSHWA NA KAWAPELEKA WATU MAHAKAMANI HUKU AKIONYESHA KUWA ANAWAAAMINI. AMEGEUKA NA KUWA SHAIDI WA UPANDE WA UTETEZI KUWA HAWA NI SAFI. PAMOJA NA KWAMBA HAWA WATU HAWAJAWA CONVICTED LAKINI KITENDO CHA KUWASAFISHA WAKATI WANA KESI YA KUJIBU NI KUKATAA KUWAHESHIMU WATANZANIA NA KUHESHIMU MAADILI YA MSINGI.
  NI NGUMU FIKRA ZA MWENYEKITI ZA KUWA UTAWEZA KUSHINDA HUKU UKIUHUJUMU USHINDI WAKO.
   
Loading...