Elections 2010 Hakika mfa maji haachi kutapa tapa sasa wako kwenye maji

Salas

JF-Expert Member
Feb 15, 2009
382
82
naona ndugu zetu sasa wameanza kuzidiwa na mashambulizi ya hoja na kuja kivingine

100_0003.jpg
 
Juzi nilikuwa nadumisha infidelity nikakuta binti ana pichu yenye nyundo na jembe.
Nadhani safari hii watakuja na toilet papers.

hayo maji wanagawa bure au yapo dukani kwa nusu bei?
anadha rushwa
 
Hata wakizipaka mbingu rangi ya kijani hitma yao itasomwa tu!
GO SLAA GOOOO.....
 
HAyo Maji ni ya kampuni gani maana hayana hata nembo ya TBS na yameruhusiwa na TDFA? NAdhani wanafanya makosa makubwa kupenyesha maji ya kunywa sokoni bila kuwa na kibali cha TDFA wala nembo ya TBS
 
Juzi nilikuwa nadumisha infidelity nikakuta binti ana pichu yenye nyundo na jembe.
Nadhani safari hii watakuja na toilet papers.

hayo maji wanagawa bure au yapo dukani kwa nusu bei?
anadha rushwa

Hata bure huninyweshi hahah ahaha ahahah!!!!!!!!
 
CCM wapende au wasipende Oktoba 31 watatukabidhi nchi yetu tu. Udhalimu waliotufanyia mwenyezi Mungu umemkasirisha na yup tayari kuwatengua madarakani.

PSALMS 50:21 - THESE THINGS YOU HAVE DONE, AND I KEPT SILENT; YOU THOUGHT THAT I WAS ALTOGETHER LIKE YOU, BUT I WILL REBUKE YOU, AND SET THEM IN ORDER BEFORE YOUR EYES
 
naona ndugu zetu sasa wameanza kuzidiwa na mashambulizi ya hoja na kuja kivingine

Haijali, tunapoenda kwenye uchaguzi hatuendi kununua bidhaa bali tunatambua mstakabli wa taifa. Watanzania wa leo na zaidi ya 70% ya wapiga kura wanatambua pumba na mchele ni upi. CCM imekua madarakani kwa zaidi ya 50years, na wengine wetu tulisoma shule kwenye somo la siasa na kufanya mengi for CCM kabla ya vyama vingi. Hatuhitaji Mabango wala nini kuifahamu CCM. Ile dhana ya CCM ndio kila kitu imeisha na watu wanafuata mstakabli wa maisha yao!
CCM wanapoteza hela nyingi na watakuwa kwenye madeni makubwa baada ya uchaguzi. Tuwadharau, tunywe maji yao na kura tusiwape!
 
HAyo Maji ni ya kampuni gani maana hayana hata nembo ya TBS na yameruhusiwa na TDFA? NAdhani wanafanya makosa makubwa kupenyesha maji ya kunywa sokoni bila kuwa na kibali cha TDFA wala nembo ya TBS

Haya maji ya kampuni ya aqua Rock ambayo hata PH 7.2 ambayo standard ni PH 7.0 vilevile hayana maelezo ya keleweka kwenye expire date yake. Nachelea kusema TRA wawacheck hawa jamaa huenda wanakwepa kodi kwa mgongo wa CCM
 
Juzi nilikuwa nadumisha infidelity nikakuta binti ana pichu yenye nyundo na jembe.
Nadhani safari hii watakuja na toilet papers.

hayo maji wanagawa bure au yapo dukani kwa nusu bei?
anadha rushwa

Mkubwa angalia usije ukakuta huyo naye yuko kwenye ile kitu ya shuka kwa shuka akakuchakachua..:)
 
hayo maji yanatengenezwa kwa shekh yahaya au?maana sijasoma kiwanda kinacho mnufacture that water hahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa kazi ipo
 
rangi ya kijani na njano nitaipenda tu baada ya DR. Slaa kuaoishwa november mwaka huu.
 
Jamani KIKWETE na CCM yake mbovumbovu wanahangaika mno!! sasa! malenga ya CCM? kweli nimeamini ...Mpumbavu akienda shule anakuwa mpumbavu zaidi!
 
Juzi nilikuwa nadumisha infidelity nikakuta binti ana pichu yenye nyundo na jembe.
Nadhani safari hii watakuja na toilet papers.

hayo maji wanagawa bure au yapo dukani kwa nusu bei?
anadha rushwa
Hizo toilet papers nitanunua!
 
Kama hili ni wazo la Makamba. Kikwete ana kazi.
Si bure kina mkapa hawamtaki huyu jamaaa.
Hebu niambieni tu. Kuna sera yeyote imeandikawa hapo ili kunishawishi nipige Kura?
Au nikiwa naona rangi ya kijani mara kwa mara basi nitachagua CCM?
Baba njoo hadharani tuombe radhi wafanyakazi, Omba radhi watanzania kwa kauli yako kuwa ulikua unajifunza uongozi, na mengine mengi. Then tutakufikiria 2015 baada ya kum evaluate Slaa.
 
Back
Top Bottom