Ccm yaipeleka tanzania kuzimu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ccm yaipeleka tanzania kuzimu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kapotolo, Oct 7, 2010.

 1. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Kama tukiendelea kutawaliwa (sio kuongozwa) na CCM, tunaelekea kuzimu kwani tukijashtuka hatuna madini tena (yote yamechukuliwa na "wawekezaji"), hatuna gesi tena, tumeua mbuga za wanyama (maana tumeanza kuzivamia na kutengeneza viwanda vya magadi na kupitisha barabara za kisiasa kufukuza wanyama), tumechakachua elimu kwa ngazi zote na kuishiwa wasomi, tumekausha mito yote kwa kutokuwa makini na utunzaji wa mazingira (kukosa umeme na maji safi kwa matumizi ya nyumbani) na mwisho ni kushamiri kwa umasikini, ujinga na maradhi na kushuka kwa life expectancy labda kufikia miaka 30, kwa kuwa watu watakufa kwa njaa, watakufa kwa maradhi na kwa kukosa huduma nyingine za jamii.
  Eee Mungu baba, this time uwe Mungu wa Tanzania, utuepushe na CCM wanatuangamiza
   
 2. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  The world is not a perfect place, but accepting that doesnÂ’t make it better
   
Loading...