Mbowe ampongeza Jk wakati wapinzani wakihaha ni namna gani wameibiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe ampongeza Jk wakati wapinzani wakihaha ni namna gani wameibiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Calipso, Oct 5, 2010.

 1. C

  Calipso JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo basi ndipo ninapopata wasi wasi wa siasa za Tz, mimi nina asli ya upinzani ktk damu yangu,na nishafikia kuapa kuwa siwezi kuwa ccm,kwa jinsi ninavoichukia hii ccm,lkn kuna baadhi ya vitu ktk upande wetu wa upinza vinashangaza na vinaipa mwanya ccm kutawala, kwa mfano mwaka 2005 sote tulijua jinsi gani CUf ilivokuwa na nguvu,lkn siku ya mwisho watz wote walishangaa matokeo ya kura yalivokuja,mpaka viongozi wa Cuf walivosema kuwa wana wasi wasi na karatasi za kura,wanalifatilia kwa makini na watalitolea tangazo,chadema kupitia Mbowe wakamtuma ahudhurie hafla ya kuapishwa Jk na kumpa pongezi nyingi kwa ushindi wa kishindo.. la kushangaza zaidi ni pale slaa na mbowe sasa wanakuja na issue ile ya karatasi,je pale Cuf waliposema ilkuwa ni ujinga? lazma wapinzani wawe kitu kimoja ili kuiondoa ccm,sio kugawanyika,mwenzako kaibiwa wewe unapongeza... Je na safari hii Endapo Jk akichukua nchi,maana hashindi isipokuwa wizi mtupu,Mbowe na slaa watahudhuria hafla ya kuapishwa na je watampongeza?
   
 2. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  A lie too old!!!!!!!! try another one
   
 3. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  punguza povu wewe
  hebu tupe ishu kamili alimsifia wapi, lini na wa nini?
   
 4. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  It is a mark of an educated mind to be able to entertain a thought without accepting it
   
 5. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  I don get it!
   
 6. C

  Calipso JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Dah ama kweli hamfatilii siasa,mumesahau wakati anaapishwa Mbowe alihudhuria,hebu mwenye clip ya kuapishwa kwa kikwete atuwekee hapa,au tuleteeni mpinzani gani aliehudhuria na kumpa pongezi Jk kama si mbowe,mnasahau sana,au ukweli unauma? fatilia kwa makini utaona,usifoke tu
   
 7. l

  lembeni Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hapa vipi?
   

  Attached Files:

 8. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Mtanzania yeyote anayesema anachukua CHADEMA au CCM au CUF ana matatizo! hivi ni vyama vina-evolve na vina badilika... mtu mwenye akili zake vizuri atakuwa muwazi wakati wote kuangalia yupi ambaye anamaanisha anachosema ndio anayotekeleza...

  Mfano wapo watu wa-upinzani wengi akiwemo Dr. Slaa wana-mfagilia Dr. Mwakyembe.

  Mpaka leo sina CHAMA ninachokichukia. naweza kutokubaliana na wagombea au sera fulani ya chama lakini sikuchukii chama chochote.

  Mfano namkubali mgombea wa CHADEMA mh. Dr. Slaa, sikubaliani kabisa na mgombea mwenza wake... nakubaliana na sera za jumla za CHADEMA isipokuwa sikubaliani na sera ya elimu ya bure... kwa kuwa sijawahi ona kitu cha bure huku duniani kinachotolewa kwenye quality inayostahili.
   
 9. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Kwenye red: Hivi yule Pumba hakuhudhuria ile sherehe ya JK kuapishwa? Nakumbuka hata walipotangaza matokeo pale Diamond ,Pumba alisusa. Ilikuwa ni hasira tu kwani ni hekima mtu kukubali kushindwa. Natumai hata Slaa atafika kwenye tafrija ya kuapishwa JK iwapo atashindwa, na kwamba JK naye atafanya hivyo hivyo.
   
 10. D

  Dodosa New Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 5, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii ndo Afrika bwana.

  Na hiyo ndo SI HASA.. Anachosema leo mtu kesho si Hasa...

  Waafrika tuzinduke tuacheni ujinga.....
   
 11. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bwana Calipso,

  Nilishapata kusema kuwa ukumbi huu wengi wao ni aidha watakuwa wanapiga kura kwa mara ya kwanza ama watakuwa wanaipigia kura upinzani kwa mara ya kwanza. Mtu ambaye hajui kilichotokea 2005, huyo utajadiliana naye kitu gani? :A S 13:
   
 12. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #12
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  wewe ni mwanaccm mkuu
   
 13. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  uchaguzi ukiisha na kama hakuna cha kufanyika, wapinzani wanahudhuria kuapishwa kwa "aliyeshinda". Hizi zingine ni bange tu unaleta jamvini
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  isipokuwa elimu uliyoipata enzi za nyerere.unless wewe ni kijana wa dot com.
   
 15. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #15
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,305
  Likes Received: 417,643
  Trophy Points: 280
  Kama wajua CCM ni wizi mtupu sasa ya kupongezana yanatoka wapi kwa shughuli ambayo ni dhuluma tu............
   
 16. Kudadeki

  Kudadeki JF-Expert Member

  #16
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya matatizo ya kuwaachia vigoli wasiochezwa kuzungumza mbele ya kadamnasi. Kama huyo mwenye PhD ya Economics kutoka Stanford ni pumba, sijui huyo mwenye PhD ya Theolojia kutoka Vatican atakuwaje? :hand:
   
 17. BongoTz

  BongoTz JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2010
  Joined: Nov 3, 2006
  Messages: 272
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Good point Kasheshe. Totally agree with you!!!
   
 18. C

  Calipso JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nimekupata mkuu.. inaonekana wengi wao ndio kwanza wanajifundisha kupiga kura,yaani wamesahau kabisa au hawajui kabisa kama mbowe alihudhuria kuapishwa kwa Fisadi wa kura Kikwete... leo wanakuja na ajenda ile ile ambayo wao walimpinga Lipumba.. ni tabu sana kuwafahamisha watu kitu ambacho ni reality,watu ambao chongo wanasema kengeza... duh
   
 19. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,075
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  wanachadema wanaibiwa na viongozi wao huku hawajui.. maskinii.. lafu kauli mbiu waliyo wapa ni HAMDANGANYIKI
   
 20. B

  Boramaisha JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 820
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sikubaliani kabisa na sentensi yako niliyoi-mark red. Samuel Sitta, Joseph Sinde Warioba, Mabere Marando, Jaji Augustino Ramadhani .... to name just a few hawa wamesomeshwa 'bure' kwa gharama zilizokuwa zikilipwa na Serikali na wakahitimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na wanaelimu bora ya kuweza ku-fit in popote duniani. Je hizo shule zetu siku hizi ambazo zinalipiwa unaweza nambia kwamba zinatoa quality education inayostahili?
   
Loading...